Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Mkuu Nguruvi3, ukisikiza propaganda za jamaa hawa unaweza kushikwa na butwaa! Madai yao mengi ni ya kitoto sana - wana kawaida ya kuangalia nani kandika article anazungumza kitu gani kuhusu Uongozi wa Kigali, wakisha tafakali hilo ndio wanamjengea hoja na madai ya kila sampuli, wakiwa na nia ya kumchafua! Watamsema lolote la uzushi tu ili watimize malengo yao. Ni mabingwa sana wa kubuni stori, sasa hivi wanashirikiana na achor (Bi B.Marshalls wa television ya Wachina nchini Kenya (CCTV) katika kuedeleza propaganda zaoya kufagilia M23 na Uongozi wa Rwanda, Uongozi wa Kigali unatumia hela nyingi sana katika media (e.g Wakina Mwendwa) na ma lobbists wengi tu kuihadaa dunia, don't you underrate them - wako well connected and properly trained katika fani hii. Uzuri ni kwamba Dunia imekwisha shitukia mbinu zao hizo, hakuna anaye wachukulia seriously any more.No sir, just another fabrications. Hawa wanoandika kutoka Congo ni sawa na akina Murutongore wanaoandika kutoka Kigali to save the master and monster KagameJe, Darfur tuna vikosi kwa sababu zipiJe, Lebanon tuna vikosi kwa sababu zipiJe, mgogoro wa Madagascar unahutusu kwa interest zipiJe, Tulipokwenda Liberia kulikuwa na interest ganiJe, tuliposaidia FRELIMO kulikuwa na interest ganiJe, tuliposaidia Angola kulikuwa na interest ganiHivi watu milioni 3 waliouawa na Kagame na M23 ni Tanzania au UN inayolaani.Hizi ni kampeni za kumsafisha muuaji Kagame, lakini ajue siku zake sasa zinakaribia. Congressional team ipo hapo ikirudi Washngton utasikia habari ya CIA. Hollande naye hachezi mbali kama alivyo Cameron. Kagame is on the hook !