Real Problem Between Kagame and Kikwete is Snitching

Real Problem Between Kagame and Kikwete is Snitching

Status
Not open for further replies.
Nimekuwa nafuatilia huu mgogoro kati ya Rwanda-PK vs Tanzania-JK. Kuna issue haijaguswa bado.

1. Watanzania wanaokosoa kwa nn JK aliongea sielewi wanatumia base ipi kusema hayo. Kwani RAIS watu anapokwenda kwenye vikao vya kimataifa kama EAC, AU au UN, haruhusiwi kuchangia mada? Katiba au miongozo yetu inatakiwa awe bubu kwenye vikao? Tunapojadili suala la Rwanda inatakiwa tuweke pembeni mapungufu ya Ndani ya JK tumjadili on this particular issue. Tusiwe general kuchukua mapungufu yake ktk wizara au taasisi za ndani ndio iwe locus stand yetu ya kwa Kila suala atakalofanya. Ana mazur na mabaya yake Kila moja lizingatie muktadha husika.

2. Tatizo ni Uchumi.
Naona wakenya nao wanajiingiza kwenye huu mgogoro ha ha ha. Issue ipo hv. Rwanda wamekuwa wanawasapoti waasi mashariki mwa Congo kwa mud mrefu Rwanda na PK wamekuwa wanaaiba maliasili kule Rwanda kwa muda mrefu. Sasa Tanzania kupeleka jeshi lake chini ya makubaliano ya. AU na UN imekuwa tishio la kiuchumi kwa jirani zetu kwa muktadha huu. Kama Congo patakuwa na Amani basi PK na jeshi lake hawataendelea kuiba mali Congo. Badala yake kijiografia na kisiasa Tanzania itanufaika kwa kufanya biashara na Congo kuliko nchi yoyote ile ktk maziwa makuu na Afrika mashriki. Ikumbukwe kama Congo kutakuwa na aman basi Congo kuna malighafi na maliasili nyingi na soko kubwa kuliko nchi yoyote sub Saharan Africa. Ili Tanzania kujinufaisha kiuchumi na kibiashara na Congo; yafuatayo yanafanywa amabayo ni tishio kwa wenzetu;

A. Tanzania imekuwa kinara wa kupigania amani na kuisha kwa uhasama nchini Congo.

B. Tanzania inajenga uwanja wa kimataifa mkoan kigoma ili ndege kubwa zinazotoka na kuingia Congo kwenda Dubai na kwingineko zitue pale kigoma kwa sababu za kibiashara

C. Tanzania itafadhiliwa na china ili kujenga bandari kubwa kuliko zote ukanda huu wa pwani ya masharik ya Afrika. Hapa Kenya ndo wanaanza kuweweseka wanaona ni pigo kwa mradi wao wa Bandar ya Lamu

D. Tanzania kupitia china wanaboresha reli ya Tazara na reli ya kati lengo ni kufanya Tanzania kuwa gateway ya central Africa landlocked countries. Ikumbukwe hata hao Rwanda na Uganda wana mradi wa reli isaka via Burundi to Rwanda. Pia Uganda wanataka bandari ya Tanga iboreshwe ili waitumie wao na reli ijengwe kutoka Tanga mpaka Mji mojawapo katika mwambao wa ziwa Victoria kule Uganda

E. ikumbukwe Zambia wanafanya biashara zao kupitia bandari ya dar. Kwahiyo ktk miaka 10-20 ijayo kama miradi hii itafanikiwa na kutumiwa vizur na Tanzania, basi ni dhahiri shahiri uchumi wa Tanzania utakuwa tishio kwa Kenya amabao nao wanaanza kupagawa kumuunga mkono PK. Kwani Tanzania itanufaika kibiashara Zambia, Burundi, Uganda, Congo na hata huyo PK Tanzania ni viable entry/exit point yake kwa bandari kuliko Mombasa.

F. Ukinzingatia mchanganuo huo na upatikanaji wa gesi, mafuta, makaa ya mawe, misitu, n.k Pamoja na Tanzania Geopolitical position
Yake. China wanaona inalipa kuwa mshirika na Tanzania. America ameshituka nae anataka kuwa mshirika zaidi na Tanzania. Vile vile brazil na nchi zingine. Kwahiyo hata uhusiano wa kimataifa wa Tanzania utakuwa mzuri. Ikumbukwe hao marekani na western power ni wagomvi wakubwa wa Rwanda hv karibuni na tishio la uhuru wa Kenya ktk masula ya kupelekwa ICC, hali ikiwa hivyo ndo kwanza watu hao western power wanakula na kulala Tanzania. Kwahiyo hakuna option ni kwa Kenya na Rwanda kuaanza kutuchukia Tanzania. Ndio mwezi ulopita wakakutana pale uganda, museve, kageme na uhuru. Ni viajjenda vya kutushia kuhamisha baadhi ya miradi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda. Kwa ufupi niishie hapa
 
President Kikwete has nothing to do with ICC, remember y Kibaki visited Tanzania 2 wks before Kenya election! Kagame is killer he killed Professor Mwaikusa, and theTutsi they think that they were born to rule others.

Once a dupe you will always be a dupe.Kikwete is a devious politician,Unfortunately our neighbors know HIM completely.How many times did he agree with his fellaz in his administration to do something before he threw them under the bus when what they planned turned out to be a failure?This also might happen to Kagame.Think it through.
 
JK anapenda sifa zote apate yeye, baada ya dunia kuona kazi nzuri ya Kagame kuinua uchumi wa Rwanda, sifa zilimiminika kwa Kagame. Vasco roho ikamuuma ndipo akaanzisha mambo ya chini chini kwa kumshirikisha Kabila kumchafua Kagame. Kagame sio kichaa wa kutaka vita, yeye amejikita katika kujenga Rwanda. Vasco ni Janga
 
Ndugu yangu MANYEMA umeongea kwa mbwembwe nyingi kuhusu sijui huo uwanja wa ndege wa kimataifa hapo kigoma,umeongelea kuhusu uhusiano wetu na wachina mara sijui na wamarekani ooh mara wabrazil wanataka kujichanganya na sisi pia,mbwembwe nyingiii katika maelezo yako lakini kila nikijaribu kuitafuta substance katika hayo mapambio yako siioni na hapo ndipo maelezo yanapopungua radha.Naomba unieleze namna ambavyo watu wa Kigoma watafaidika na huo uwanja utakaokuwa na kazi ya kuziunganisha ndege kutoka Dubai kwenda DRC kubeba dhahabu.Hayo mengine sitaki kuyaongelea sana hapa ila kwa kifupi ninahisi hii ishu ya DRC ni dili la Watu flani hapa Nchini pamoja na Washirika wao wa nje.
Kuhusu uhusiano wetu na Wachina pamoja na Wamarekani ni upuuzi kudhani kuwa haya Mataifa yatatuletea maendeleo bila sisi wenyewe kuwa na mipango mizuri ya kujiendeleza.Hawa jamaa yanakuja hapa kwaajili ya mali-ghafi za Viwanda vyao.Ningeziona Nchi za maana kama misaada yao ingelenga zaidi katika Uwekezaji wa viwanda vya usindikaji vyakula.
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price

I don't understand this! JK is the president of the URT, how can it be that he personally pay the so called price? Is Kagame planning something evil for our President?
 
I don't understand this! JK is the president of the URT, how can it be that he personally pay the so called price? Is Kagame planning something evil for our President?

tutumie lugha ya taifa tutaeleweka tu.
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price

In Tanzania we may have spots of democratic rightful opposition ....against Kikwete ....but when it comes from touching him personally ...there is no way you can separate Kikwete and the presidency ...
hawawezi eti Kusema wata deal na Kikwete personally tukawaacha...just recently our soldiers were attacked un armed and killed in Darfur....Our Intelligence findings have uncovered the culprits .......and their masters ....and infact our support called at the scene managed to be engaged in fire exchange and capture one ...
 
TECH WIZ kwann unataka niamini hisia zako?? Nenda ofisi ya Waziri mkuu ukasome mradi uliobuniwa chini ya EPZ/SEZ unatakavyo fanya kazi na kuwasaidia watanzania jinsi the central corridor economic route kati ya bandari ya bagamoyo na kigoma to Congo na impact yake kwa mikoa ya kati na Tanzania. Kabla ya kuboreshwa uwanja wa kigoma. Nauli ya ndege kutoka dar to Kgm ilikuwa kubwa kuliko kutoka dar to Dubai. Zaidi jibu hoja zangu moja baada ya moja. Issue ya wamarekani na wachina haitotatuliwa kwa makelele yako bali ni kwa ushaur wako kwa vyombo husika jinsi gani ya kuandaa mikataba yenye manufaa kwa nchi yetu. Au wewe ungekuwa rais ungejifungia milango pasina kushirikiana na mataifa ya nje? Mfano taifa gani hawashirikiani. Hebu litaje? Nenda kigoma ukaone jinsi uwanja wa ndege unavyowanufaisha wakazi kwa kuongeza kazi ya mzunguko wa pesa pale kigoma
 
Musamiati mupya SNITCH nakwenda urbarn dictionary. I WILL BE BACK. No kidding. Dont clear this PLEASE
 
JK anapenda sifa zote apate yeye, baada ya dunia kuona kazi nzuri ya Kagame kuinua uchumi wa Rwanda, sifa zilimiminika kwa Kagame. Vasco roho ikamuuma ndipo akaanzisha mambo ya chini chini kwa kumshirikisha Kabila kumchafua Kagame. Kagame sio kichaa wa kutaka vita, yeye amejikita katika kujenga Rwanda. Vasco ni Janga
Kikwete hawezi kuionea wivu Rwanda kwa sababu ...yeye sio Kila kitu ....Muda wake ukifika ataondoka kidemokrasia...huwezi kumlinganisha na Rais ambaye haijulikani ataondoka lini Madarakani ....Kagame yeye ni mporaji wa Mali za wacongo na hicho ndicho .....kilichomuuma...Tunatambua Tatizo la ardhi Rwanda na ndio maana Tanzania kwa MUDa mrefu imewaacha raia wa Rwanda ...walime na kufuga...na hata kuwapa uraia Zaidi ya 30,000 kwa wakati mmoja.....na kuna wakati wengine tuliwasambaza mikoa Kama Tabora wapate makazi..........lakini tunafikiri sasa bora tuwarudishe nyumbani Kagame akawape ardhi.........Kuanzia wiki ijayo ...!!!!
 
..............Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price.
kwanini asingempigia simu kumtukana? nyinyi wakenya achene kumtetea huyo pua ndefu, tusi kwa JK ni tusi kwa watz.
 
Loh! Kumbe jk hajaacha tabia yake ya kusnich. Rejeeni stori ya jinsi jk allivyotoka monduli muone hw jk snitched the head to jk wa ukweli
 
Mtu clean hawezi kuogopa ICC. Actually kama Kagame yuko clean, kumpeleka ICC ni njia ya kumsafisha.
Ukiona mtu anakimbia polisi, jua ni mharifu...
 
I am back. Kumbe JK talle-tells on Kagame. I swear hii kitu siyo freash.
 
Mkuu huyu jamaa alitakiwa ajibu hoja zako moja baada ya nyingine lakini kwa kuwa hana hoja amebaki na porojo na kumbwelambwela tu ha ha ha!

TECH WIZ kwann unataka niamini hisia zako?? Nenda ofisi ya Waziri mkuu ukasome mradi uliobuniwa chini ya EPZ/SEZ unatakavyo fanya kazi na kuwasaidia watanzania jinsi the central corridor economic route kati ya bandari ya bagamoyo na kigoma to Congo na impact yake kwa mikoa ya kati na Tanzania. Kabla ya kuboreshwa uwanja wa kigoma. Nauli ya ndege kutoka dar to Kgm ilikuwa kubwa kuliko kutoka dar to Dubai. Zaidi jibu hoja zangu moja baada ya moja. Issue ya wamarekani na wachina haitotatuliwa kwa makelele yako bali ni kwa ushaur wako kwa vyombo husika jinsi gani ya kuandaa mikataba yenye manufaa kwa nchi yetu. Au wewe ungekuwa rais ungejifungia milango pasina kushirikiana na mataifa ya nje? Mfano taifa gani hawashirikiani. Hebu litaje? Nenda kigoma ukaone jinsi uwanja wa ndege unavyowanufaisha wakazi kwa kuongeza kazi ya mzunguko wa pesa pale kigoma
 
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !

Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete

Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price

What is your feeling about DRC CONGO?
 
Can you mention some of them???

Wait a moment, are there also some Kenyans who are living Illegally in Tanzania? Your rubbishes you have just vomited here has nothing to do with KIGOMA,GEITA and KAGERA operations of kicking asses of all who are living illegally in our Largest land in EAST AFRICA??? This time there is no Mercy, this skeleton has to be taught a lesson.
 
Kagame says he knows where to hit Kikwete. This statement should be taken very seriously. The Watutsi network in the great lakes region is so pronounced. Kikwete talks of illegal migrants does he really know who are they? This country has been left open allowing each and everything coming in freely including the Watutsi insurgents. These are very shrewd in pretending and to that effect they have been able to penetrate the most sensitive arenas of our state instruments. Kagame use them very effectively. That is why he says he knows where to hit Kikwete.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom