another deviating story from the reality. Inavyoonekana kagame anakamtandao east africa kanakoweza kumtoa yeyote, lakini wabongo nadhani tulishajua mchezo mchafu wa hawa majirani zetu, so we will see who win the game!
hata kikwete icc inamuhusu sana kwa mauaji ya mwangosi, ally zona, waandamanaji wa chadema arusha, bomu katika mkutano wa chadema soweto na mauaji mengi yenye sura ya kisiasa bila kusahau utekaji nyara na utesaji watu. Funny enough kikwete hajawahi hata kutoa pole kwa mjane wa mwangosi.
Kikwete kwa sasa ni kipenzi cha wazungu kwa kuwa ana rasilimali na hivyo kuwa snitch wenzie, lakini hajui undumilakuwili wa wazungu watakaomgeuka madini na gesi vikiisha
wabongo tunaweza kupigana nao kwa nadharia hasa kama ambavyo huwa tunafanya kwenye michezo ya simba na yanga! Lkn ukweli hao jamaa hili kwao si la sasa hivi bali ni planned. Wanamipango ya muda mrefu ya kuhakikisha wanaongeza maeneo yao! Wamepandikiza watu wao kila sehemu ndani ya nchi yetu! Hivyo tunapo ongea try to think twice.
nahisi kagame yuko nyuma ya ukatili huu wa ccm dhidi ya chadema.watusi wamekuwa wanafanya kazi na na magamba kwa kipindi kirefu sana.si mnajua historia ya josee kabila???huyu ni mtusi na sio mzaire.kama hamjui chunguzeni.watanzania wanashangaa ccm kuwapa uraia watu hawa.