Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

kipara na kweny klabu bigwa ya Dunia waje watupatie tufmyeke Tena kichwa
 
Attachments

  • Just 8️⃣ spots left to fill at the -------- Club World Cup ----(JPG).jpg
    Just 8️⃣ spots left to fill at the -------- Club World Cup ----(JPG).jpg
    230.5 KB · Views: 1
Tulichofanya Los Blancos dhidi ya City ni same na alichofanya PORTO dhidi ya ARSENAL, same na ARSENAL dhidi ya CITY Etihad. Tulienda kum-NEUTRALIZE CITY.Zipo taarifa mitandaoni kwamba Davide Ancelloti na timu yake waliusoma mchezo wa Arsenal vs City na wakaja na mpango kazi wa kumtuliza City.

West Ham wakati anatufunga Arsenal, Moyes alizungumza hivi "Football is played in many ways and today it was a brilliant defensive performance. Sometimes you have to watch how you play teams. We did a great job in keeping them from scoring"

Yes, football is played in many ways.Huwezi kulazimisha kila kocha acheze kama Guardiola, au namba 10 ya Mourinho iwe na majukumu sawa na namba 10 ya Guardiola. Na hapa ndo nakashangaaga kajamaa kalichomng'ang'ania Jude kila game.

Juzi kati Real Madrid tulipiga mpira mkubwa sana.Sikumbuki lini tumepiga mpira ule.Sasa kama wewe mpira mkubwa ni mpaka umiliki ball Kwa 75%, subiri tu hapo hapo. Tukutane Wembley
 
kale kajamaa huwa hakatazami mpira kanuchungulia matokeo live score kakiona jina la Jude halipo kweny Score board kanakuja apa kuaza kubwaja bwaja tu
 
Nawachukia sana kenge nyie
Kwa style hii lazima uichukie Madrid, UCL

=>2022/23 Round of 16
Real Madrid CF 1-0 Liverpool
Liverpool FC 2-5 Real Madrid
NB:VVD akalia mpaka kamasi

=>2021/22 Final
Liverpool FC 0-1 Real Madrid
NB:Klopp akawadanganya mfanye booking ya hotel mapema, Uturuki.Badala yake, mkakutana tena na wahuni, tukawalamba

=>2020/21 Quarter-finals
Liverpool FC 0-0 Real Madrid
Real Madrid CF 3-1 Liverpool
NB: Baada ya hii mechi Klopp alisusa kula wiki nzima

=>2017/18 Final
Real Madrid CF 3-1 Liverpool
NB:Tukamvunja na Sis. Sala mkono

=>2014/15 Group B
Real Madrid CF 1-0 Liverpool
Liverpool FC 0-3 Real Madrid
NB:Cristiano Ronaldo standing ovation at Anfield
 
yani mmetobolewa na man utd kwenu mkategemea comeback na fixed penalty favour mko mnadhani mtaiweza Madrid

your full fit squad full of elite players couldn't sasa hao vilaza wakina jackson ndio watoboe be ashamed
Nyie amuyijui Chelsea vizuri..unakumbuka ule mpira tulopiga game ya mwisho ambapo mulishinda kimazabe mazabe😂😂😂 sasa usiombe kukutana na hii Chelsea inayojitafuta. Utakula mkono kabisa.
 
kati pana casemiro Toni na luca kushoto Vin kulia Rodrygo kati Benzema chelsea walipiga mpira mrefu Alaba akauzia na kichwa ukutua kwa Marcelo, Marcelo akampa luca,Luca akapiga bonge la assit kwa Roydrigo one of the Best assit ever in Champions leauge History Roydrigo alivyokutana nayo hakuta mambo yawe mengi moja kwa moja wavuni Mendy ananyosha tu limkono afu unamsikia mtangazaji wa super sport anakwambia Roydrgoooo Real madrid going big deep and deep achana Real madrid kijana itakua na vidonda vya Tumbo
 
kale kajamaa huwa hakatazami mpira kanuchungulia matokeo live score kakiona jina la Jude halipo kweny Score board kanakuja apa kuaza kubwaja bwaja tu

Mkuu unaumia sana, Twambie anachofanya Jude uwanjani anachowashinda au kuwazidi wenziwe ni nini? Jamaa ndio mchozaji dhaifu zaidi uwanajni huo unabaki kuwa ndio ukweli.
 
Kaka Jude kakulia nini?
mtue basi
we unauzungumzia madhaifu yake kila ukija kwani Hana mazuri?

Kama Hana ni kwako na kizuri zaidi humlipi mshahara wewe,
Ila Kwa timu mchango anao ndomana wanampa hela ndefu na anawatumikia ipasavyo,

jitahidi basi kua na hasira ya ya maisha Kwa kuheshimu kazi za watu ndugu.
 
Kaka Jude kakulia nini?
mtue basi wew unauzungumzia madhaifu hake kila ukija kwani Hana mazuri?

Kama Hana ni kwako na kizuri zaidi humlipi mshahara wewe,
Ila Kwa timu mchango ndomana wanampa hela ndefu na anawatumikia ipasavyo,

jitahidi basi kua na hasira ya ya maisha Kwa kuheshimu kazi za watu ndugu.

mkuu naona unaungana na mwenzio, mimi nimekua nikotoa maoni yangu tu, huyo jamaa amekua akirusha matusi na maneno ya ovo kwangu kisa nimem criticize huyo Jude. sasa nawewe naona unaende kule kule.
Sasa mwenye hasira za maisha ni nani mimi au nyinyi? Nani kati yenu niliyemu atack personal? mbona nyinyi muna atack personal? sasa nani ana hasira na maisha hapo?
 
Wewe Una mu attack Jude personal,

Kwa kua hakujui na Una mu attack kupitia kwetu Sisi na Sisi lazima Tu Ku attack wewe Kwa sababu unatuongopea,

Kwamza hajacheza vibaya mechi zote Ila sijawahi kuona ukisifia mazuri yake,

Unachojua we ni kuponda tu,
na Kama ni Maoni yako basi tumeyachoka hatutaki

Baki nayo kwani lazima kutuaminisha unachoamini Kaka?

Mechi ya Kwanza bernabeu hata mimi nilisema Jude Bellingham Leo alikua mzurulaji Ila Ile ilikua ni siku mbaya kazini,
Ila wewe sasa kila mechi kumkosoa Kama vita vile mbona mechi ya Etihad kila alietazama anasema alicheza vizuri we pekee ndio unasema vibaya,

Huoni unaletaka ukakasi?

mpaka tunaanza kuhisi huenda ukawa kweli huamgaliii mechi unafatilia live score!!!
 
Mkuu kama umeyachoka ulitakiwa uyaskip tu, au huu uzi ni mali yako?
 
hapa kwani tupo katika kuaminishana ama? kila mtu anatoa mawazo yako na hisia zake, sasa ni wapi mimi nililazimisha kukuaminisha?
 
Back
Top Bottom