Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Overrated kivipi wakati mmoja wapo akichukua league na UEFA halafu England ikafanya vizuri EURO ana nafasi kubwa ya kuchukua Ballon d'or?

kuchukua Ballon d'or sio kigezo cha ubora, Messi amebeba akicheza MLS kwa maana mtu yoyote anaweza kupewa mazingira yakimkalia sawa. Hoja ni uwezo wao ni wakawaida sana wanapata promo kubwa kutokana na Utaifa wao.
 
Hii timu inanikera sana, yaani kama sio Real Madrid.
Hii timu sijui tatizo ni kocha ama ni Wachezaji!? Msimu huu tumesajili wachezaji wazuri tu, ila matokeo hayaendani na usajili, nilikuwa na matumaini makubwa sana msimu huu., ila kiukweli nilikuja kugundua kuwa bado team ina safari ndefu.
Tuliachana na Esther Gonzalez tukitegemea Caroline ataongoza safu ya ushambuliaji, ila bahati mbaya akaumia, hapo ni mpaka msimu ujao ndio ataitumikia tena team., msimu umeisha huu, wakomae tu tumalize nafasi ya pili, tuone uongozi kama utabadilisha bench la ufundi ama laa.
 
Nliangalia mechi ya jana kuna tatizo kwenye coaching
 
Ni kama mkataba umetufunga hivi, Mzee Perez anashindwa kufanya maamuzi makubwa, kwasababu ile team tuliinunua pamoja na management yake, yule Bibie ndiye mwenye nguvu, acha tu tusubiri kama kutakuwepo na mabadiliko huko mbeleni.
 
Wachezaji wa Real Madrid usiku huu,

• Arda Güler anaanza akiwa na Uturuki •

Toni Kroos na Rudiger wanaanza huko Ujerumani

• Cama & Tchouameni wanaanza Ufaransa

• Fede Valverde anaanza Uruguay

• LUNIN anaanza na Ukraine

• Jude Bellingham anaanza kwa Uingereza •

Luka Modric anaanza kwa Croatia

• Vini & Rodrygo wanatarajiwa kuanza kwa Brazil.

Cha Msingi ni dua Tu ili habari mbaya za Majeruhi zisitokee.
 
Dogo Endrick katupia tena leo. 2 games and 2 goals akiwa kwenye National team. Inaelekea msimu ujao tutakuwa na safu ya ushambuliaji yenye akili, yaani pale mbele tutakuwa na Brazilian attacking weapons + Kilian Mbappe. Yaani ni squad bora kutokea kuliko ya kina Figo na Beckham
 
W

Wote walicheza, sijasikia shida yoyote mpaka sasa., ni matumaini yangu watarejea salama.
Tuna game za muhiju sana kuanzia Jumapili.
 
Dogo Endrick katupia tena leo. 2 games and 2 goals akiwa kwenye National team. Inaelekea msimu ujao tutakuwa na safu ya ushambuliaji yenye akili, yaani pale mbele tutakuwa na Brazilian attacking weapons + Kilian Mbappe. Yaani ni squad bora kutokea kuliko ya kina Figo na Beckham
Niliona kwenye article fulani hivi, sikumbuki ile source, ni kama wanataka Dogo abakie Brazil kwa msimu mmoja tena, sijui kambi yake wataamua vp.,
 
Back
Top Bottom