Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dogo ni kama homa ya vipindi, Leo yupo poa kesho anazingua., nafasi ya kwanza imemdondokea yeye ila akashindwa kufanya chochote., acha tuone Ancelotti atakuja na jipya gani kipindi cha pili. Ila tukitolewa basi ajue kazi yake inaishia msimu huu.
Ungekuwa wewe ndio kocha, kwa moto huu aloingia nao PSG unadhani ungeweza kutoka na matokeo?

Mtu kama Mbappe na Neymar na Messi unataka uwakabaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbape piga hawa wahuni, zifike hata 3 au 4.
.
IMG-20220217-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom