Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

tukiweza kuzuia vizuri tunashinda hii game naona tuna shida mapema
Beki ya kushoto ninadhani ndio sehemu iliyo na changamoto, kama ilikuwa ni Zidane angepanga mabeki watatu nyuma, huku Marcelo na Carvajal wakicheza kama wing backs, Kwa upande wa Ancelotti sijawahi kuona akitumia formation hiyo, Sasa sijui Leo atakuja na mpya gani ., acha tusubiri.
 
1646853886837.png
 
Acha kwanza vijana wakapumzike kidogo wakajiulize na Mwl akatoe maelekezo yake.,
Bado kwenye third ya adui tunaruka ruka sana.,
Ninatamani Camavinga aingie hata tubaki pale mbele na forward wawili., Shida Ancelotti anaamini magoli ni lazima litokane na forward.,
 
Back
Top Bottom