Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Eduardo Camavinga and Rodryigo are game changers.
Ila Camavinga ni
Game ilibadilika ghafla walipoingia hawa madogo, pressing ya kutosha, pass za uhakika kutoka nyuma, kuanzia pale niliona dalili za wazi kabisa za kusawazisha.,
Ila Camavinga kiukweli dogo anajua sana, ana uwezo mzuri wa kukaa na mpira halafu pia ana uwezo wa kupiga pass zenye macho., team inakuwa vizuri sehemu ya kiungo inapotulia, ni kazi kwa Ancelotti kumchezesha mara kwa mara ili apate uzoefu.
 
Vini jana kawakimbiza Hakimi na Kimpembe , Modirc amecheza kama ana miaka 24, Fede katuliza dimba Benzema siwezi hata kuelezea nme amkia bar
 
Kama mnajiami ombeni draw na timu yeyote ya epl ...muone mtakavo sasambuliwa ......
Sijui kwanini shabiki wa hii ligi hua mna wenge sana . Kwamba Madrid hajawahi kucheza na timu za EPL au?
Kuna mwenzenu shabaki wa Chelsea anajiita Olachuga daily analeta wenge lake humu, sahivi naona yupo kimya, sijui kakumbwa na nini.
 
Nilienda kibanda umiza, baada ya goli la Mbappe, nikasepa kwa hasira.

Nimeamka kucheki final results muda huu. Aisee, kwanza ngoja nipige Punyeto kwa furaha!
Mimi sikukata tamaa kiukweli, sema lile goli lao la uongozi nusura nianguke kwa mshtuko., ila nikajipa moyo nikasema tutavuka tu, zikiwa zimebaki kama dakika tano mpira kuisha umeme ukakatika, duu hapo nilidata, nikazama kwenye simu nikaamua kustream game inakata na umeme ukarudi., basi niakaamua kumaliza tu shangwe na ndugu zetu waliokuwa uwanjani.
 
Walikua wamekaa benchi moja (pamoja)?
Jamaa walikaa wote Presidential box, kwa kuwa kuna ka uhasama Sina uhakika kama waliongea chochote ila kabla ya game walipata chakula pamoja, kama ilivyo desturi ya mashindano haya.,

Taarifa zilizopo ni KUWA Rais wa PSG baada ya game kuisha alienda kwenda chumba cha marefa akiwa na moto mbaya, analaumu kuwa lile goli la kwanza halikupaswa kuhesabiwa kwasababu anadai kuwa Benzema alifanyia madhambi golikipa wao.
 
Alimfanyia madhambi kivipi?
 
Picha yangu ya mwaka huu
Screenshot_2022-03-10-20-06-13-34.jpg
 
Back
Top Bottom