Hakuna ngekewa hapo ni uwezoLinapokuja swala la UEFA Madrid huwa ina ngekewa zake tu, huwezi kuiunderrate hata kama inaonekana mbovu.
AaaaaahHakuna ngekewa hapo ni uwezo
Wewe kama mimi asee. Kwa mara ya kwanza mechi moja tuu nimeamua kujipa furaha kuliko kubeba taji.Naomba niseme nashukuru sana kuipenda na kuishabikia hii timu. Nimepata raha ya msimu mzima ata nisipo chukua kombe.
Hala madrid
sawaSasa tunamtaka kibonde wetu buyern ambae huwa anawakojoza barca barca hadi bao 7. Tukimkosa buyern watuachia my wetu liva
Wewe kama mimi asee. Kwa mara ya kwanza mechi moja tuu nimeamua kujipa furaha kuliko kubeba taji.
Morning too sir!Good Morning Madridistas