Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Full Time : Rayo Vallecano 0-1 Real Madrid
Nadhani kuna shida kubwa kwenye mfumo wa uchezaji kuliko form za mchezoji mmoja mmoja.Hatujacheza vizuri., bado ipo shida kidogo hopefully wachezaji wata recover form zao kabla ya mechi dhidi ya PSG





Endapo vijana watacheza kama jana, basi tutatoka na kitu, ila shida ni kwamba tutakosa huduma ya Casemiro na Mendy, wakati huo huo tukisubiri kuona Kroos atakuwa na hali gani.,Tunasubiri sasa matajiri wa paris tuone kama tutachomoka nao