Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hazard gari la mkaa

Huyo jamaa ni scam, anauza jina la tu lakini hawezi kuwa kwenye kumbukumbu ya vitabu vya Real Madrid. Perez asipoweka pesa kwenye hii timu, kuna hatari ya kubebeshwa virago kama yule wa Barcelona. Hatuwezi kufungwafungwa kila siku halafu president anakenua tu kama boya
 
Hazard aliyataka mwenyewe. Aliondoka blues kwa nyodo sana.
 
Real Madrid imejaa talent kibao ambazo hazisaidii timu. Wanakula mishahara tu. Wachezaji ambao hawafungi magoli hawana faida yoyote. Perez asipoleta goal poachers pale na yeye inabidi aende tu kama Bartomew. Tushachoka mambo ya kisenge.
 
Zizou tangu amerudi sijaona project yoyote mpya aliyofanya. Amekuja kupokea pesa na kumsikiliza Perez tu
 
Back
Top Bottom