Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,631
- 6,495
Ramos na Varane ni duo back moja kali sana wewe. Matokeo ya mechi moja yasitufanye tutafute lawama za kulazimisha.Hii team gereji timu shamba inakatisha tamaa..nafikiri ni muda sasa tupasue kibubu tufanye usajili kila siku nasema ramos na varane wasicheze pamoja miguu inawasaliti.
Tumefungwa kwa sababu moja, maandalizi ya mechi ya UEFA keshokutwa Jtano.
