Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Timu imekua kichomi hii kwa sasa..
Hakuna creativity hata kidogo.. Pasi hazina maana, hawawezi ku create space, attacking ipo so weak. Ni bora liende tu
 
Sema wale jamaa game ya jana waliikamia kinoma, maana sio kwa defence ile. Magoli yetu mawili yote ni ya kufosi, yaani uzoefu umetumika.
 
1st goal. Hazard
1604153335768.gif
 
Hii team gereji timu shamba inakatisha tamaa..nafikiri ni muda sasa tupasue kibubu tufanye usajili kila siku nasema ramos na varane wasicheze pamoja miguu inawasaliti.
 
Back
Top Bottom