Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,406
ile hattrick ya UEFA kuna watu walisema ni sababu ya ronaldo wengine ZizouMiaka michache ya hapo nyuma Kuna watu walikuwa wanasema Zizzou ni bora kuliko makocha wote waliopo English premier league, nikawaambia bado hatujauona uwezo halisi wa Zidane kama kocha.
Leo hii anatuthibitishia kuwa yeye ni kocha wa kawaida sana level za akina Pochetino. Wachezaji na system tangulizi ndio vilimbemba kwenye ile glorious spell.
Kama Kuna kitu ambacho Zidane amefanikiwa kwa uwezo wake binafsi Kama kocha pale Real Madrid, Basi ni kuwapa uhakika wa matokeo kwenye mechi dhidi ya Barcelona (El classico) tofauti na hapo hakuna kingine amebaki kibahatisha tu.
Mfano kama sasa hivi, real Madrid akifaulu kuingia mtoano kwenye UCL utakuwa ni ubahatishaji tu... Na hayo ndio yatakuwa maisha yake kama akiendelea kuwepo hapo klabuni
ila sasa sio zizou wala ronaldo aliyeionja UEFA.. kwahyo unasema ilikuwa sababu ya nini?Maana wachezaji ni walewale