Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #42,421
Benzema makes it 2-1. 😍🔥
Hii Madrid kweli kituko hao fenabache wamepigwa Jana na buyern 5-0 kipindi cha kwanza,Madrid wanatoka Nao 2-2 half time.
Hii defence naomba iwe ya pre-season tu, lakini kama anapanga hii kwenye la
Defence yetu ni shida sana kwa kweli, Varane anaongea mpaka ninaona anaanza kukasirika sasa, kila nikiwaona Odiozola, Nacho na Marcelo kwenye starring lineup ninajua tutafungwa tu, yaani sijui ni nin kiwatokea viongozi wetu wakamtoa kwa mkopo wakatuletea huyu Odiozola, hasaidii kwenye attack wala kwenye ulinzi, sijawahi kumsoma hata kidogo,
Kwa upande wa Nacho ndio ugonjwa unaongezeka, Hope ujio wa Miltao utaleta chachu, hapo nikiombea Vallejo afanye vema huko Wolves ili jamaa aondoke msimu ujao . Kwa upande wa Marcelo Mendy yupo so sina shida nae, atalizoe bench tu msimu huu
Link ya Hazard na wenzie bado haijafanya kazi, tumefika sana golini kwao, sema maamuzi yanakuwa sio sahihi.Hii Madrid kweli kituko hao fenabache wamepigwa Jana na buyern 5-0 kipindi cha kwanza,Madrid wanatoka Nao 2-2 half time.
REAL MADRID STARTING XI:
• Navas; Odriozola, Varane, Nacho, Marcelo; Isco, Valverde, Kroos; Vinicius, Benzema, Kubo.
¡¡HALA MADRID!!
Yan ungeniambia Toni Kroos ndio kaisha ningekuelewa. Halfu Casemiro unasema jina kubwa hamna kitu? Sina hakika kama unawafuatilia Madrid.. Llorente chipukizi unataka kufananisha na Middle gan pale Madrid?Casemiro jina kubwa kuliko uwezo wake. Hivi Casemiro utamlinganisha na nani kiungo wa nafasi yake pale Atletico?
Modric anajua mpira ila ameshachoka umri umeenda sasa ngoja mmtegemee muone madhara yake
Rodri alieenda Man City middle field mwenye tackles 3 per game fundi wa chenga za mwili utamlinganisha na Casemiro?Yan ungeniambia Toni Kroos ndio kaisha ningekuelewa. Halfu Casemiro unasema jina kubwa hamna kitu? Sina hakika kama unawafuatilia Madrid.. Llorente chipukizi unataka kufananisha na Middle gan pale Madrid?
Am telling you. Come up again bro!!
Kwa hali ilivyo kwasasa vijana wanatakiwa kukaza kweli kweli, mabeki wetu wanafanya makosa mengi sana, team kwa upande wa ushambulizi haijakaa Sawa kwahiyo lile suala la hamna shida tutarudisha hakuna sasa hiv, Kilichopo ni kujilinda haswa .Mpira wa sasa, bila tight defence Zidane anatutafuta lawama. Pre-season yes, lakini ni vipi timu kama hii inatufunga mara 3?
Uwanjani kuna roles tofauti mkuu. Kazi anayofanya Casemiro pale Atletico hakuna anayefanya. Casemiro ni defensive midfield hao uliowataja ni central midfield ambao mtu kama Saul Niguez kidogo anaweza kalinganishwa na Modric. Sasa umenichekesha zaidi ulipomuweka mpka Partey ambaye sijui nimfananishe na kiungo gani Real. Japo hawanatofauti sana ila kimajumu ila position ya Casemiro usiichulie poa.Rodri alieenda Man City middle field mwenye tackles 3 per game fundi wa chenga za mwili utamlinganisha na Casemiro?
Ingawa Casemiro sio mbuzi wa kafara kwa hali iliyopo Real Madrid sasa hivi
Pale Atletico kuna Saul Niguez, Koke hawa wote wakicheza position anayocheza Casemiro wanamfunika
Hata Partey mwenyewe anapiga mpira mkubwa kuliko Casemiro
Holding Midfield sio kukaba tu
NB: sijamaanisha Casemiro sio mchezaji mzuri ; Casemiro ana hadhi ya kuchezea Club kubwa
Casemiro sio mbunifuUwanjani kuna roles tofauti mkuu. Kazi anayofanya Casemiro pale Atletico hakuna anayefanya. Casemiro ni defensive midfield hao uliowataja ni central midfield ambao mtu kama Saul Niguez kidogo anaweza kalinganishwa na Modric. Sasa umenichekesha zaidi ulipomuweka mpka Partey ambaye sijui nimfananishe na kiungo gani Real. Japo hawanatofauti sana ila kimajumu ila position ya Casemiro usiichulie poa.
Roles za Casemiro naweza kufananisha na Kante hawa wanacheza chini karibu na mabeki kazi kubwa kupokonya mipira na kuwasambazia central midfield. Unawezaje kumfunika mchezaji kwenye position ambayo keshaprove anaweza kitambo.
Acha umama uende mbinguni.AUDI CUP
Fenerbance 3-5 Real Madrid
Benzema kafunga goli 3 huku eden hazard akiondoka bila ya kuscore goli.View attachment 1169144