Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

34’ - Real Madrid 2-1 Fenerbahce

Goals • Karim Benzema (2)
Assists • Toni Kroos • Vinicius Jr
 
Hii defence naomba iwe ya pre-season tu, lakini kama anapanga hii kwenye la
Defence yetu ni shida sana kwa kweli, Varane anaongea mpaka ninaona anaanza kukasirika sasa, kila nikiwaona Odiozola, Nacho na Marcelo kwenye starring lineup ninajua tutafungwa tu, yaani sijui ni nin kiwatokea viongozi wetu wakamtoa kwa mkopo wakatuletea huyu Odiozola, hasaidii kwenye attack wala kwenye ulinzi, sijawahi kumsoma hata kidogo,
Kwa upande wa Nacho ndio ugonjwa unaongezeka, Hope ujio wa Miltao utaleta chachu, hapo nikiombea Vallejo afanye vema huko Wolves ili jamaa aondoke msimu ujao . Kwa upande wa Marcelo Mendy yupo so sina shida nae, atalizoe bench tu msimu huu
 
Hii Madrid kweli kituko hao fenabache wamepigwa Jana na buyern 5-0 kipindi cha kwanza,Madrid wanatoka Nao 2-2 half time.
Link ya Hazard na wenzie bado haijafanya kazi, tumefika sana golini kwao, sema maamuzi yanakuwa sio sahihi.
Valverde anafanya kazi yake vema kabisa, kidogo hata Kroos amepunguza makosa Leo
 
REAL MADRID STARTING XI:

• Navas; Odriozola, Varane, Nacho, Marcelo; Isco, Valverde, Kroos; Vinicius, Benzema, Kubo.

¡¡HALA MADRID!!

Isco--------Valverde----------Kroos ndio midfield ambayo naona Zizou anatakiwa atembee nayo msimu huu kinyume na hapo hamalizi huu msimu kabla hajatimuliwa
 
Casemiro jina kubwa kuliko uwezo wake. Hivi Casemiro utamlinganisha na nani kiungo wa nafasi yake pale Atletico?

Modric anajua mpira ila ameshachoka umri umeenda sasa ngoja mmtegemee muone madhara yake
Yan ungeniambia Toni Kroos ndio kaisha ningekuelewa. Halfu Casemiro unasema jina kubwa hamna kitu? Sina hakika kama unawafuatilia Madrid.. Llorente chipukizi unataka kufananisha na Middle gan pale Madrid?

Am telling you. Come up again bro!!
 
Rodri alieenda Man City middle field mwenye tackles 3 per game fundi wa chenga za mwili utamlinganisha na Casemiro?

Ingawa Casemiro sio mbuzi wa kafara kwa hali iliyopo Real Madrid sasa hivi

Pale Atletico kuna Saul Niguez, Koke hawa wote wakicheza position anayocheza Casemiro wanamfunika

Hata Partey mwenyewe anapiga mpira mkubwa kuliko Casemiro

Holding Midfield sio kukaba tu

NB: sijamaanisha Casemiro sio mchezaji mzuri ; Casemiro ana hadhi ya kuchezea Club kubwa
 
Mpira wa sasa, bila tight defence Zidane anatutafuta lawama. Pre-season yes, lakini ni vipi timu kama hii inatufunga mara 3?
Kwa hali ilivyo kwasasa vijana wanatakiwa kukaza kweli kweli, mabeki wetu wanafanya makosa mengi sana, team kwa upande wa ushambulizi haijakaa Sawa kwahiyo lile suala la hamna shida tutarudisha hakuna sasa hiv, Kilichopo ni kujilinda haswa .
 
Rodri alieenda Man City middle field mwenye tackles 3 per game fundi wa chenga za mwili utamlinganisha na Casemiro?

Ingawa Casemiro sio mbuzi wa kafara kwa hali iliyopo Real Madrid sasa hivi

Pale Atletico kuna Saul Niguez, Koke hawa wote wakicheza position anayocheza Casemiro wanamfunika

Hata Partey mwenyewe anapiga mpira mkubwa kuliko Casemiro

Holding Midfield sio kukaba tu

NB: sijamaanisha Casemiro sio mchezaji mzuri ; Casemiro ana hadhi ya kuchezea Club kubwa
Uwanjani kuna roles tofauti mkuu. Kazi anayofanya Casemiro pale Atletico hakuna anayefanya. Casemiro ni defensive midfield hao uliowataja ni central midfield ambao mtu kama Saul Niguez kidogo anaweza kalinganishwa na Modric. Sasa umenichekesha zaidi ulipomuweka mpka Partey ambaye sijui nimfananishe na kiungo gani Real. Japo hawanatofauti sana ila kimajumu ila position ya Casemiro usiichulie poa.

Roles za Casemiro naweza kufananisha na Kante hawa wanacheza chini karibu na mabeki kazi kubwa kupokonya mipira na kuwasambazia central midfield. Unawezaje kumfunika mchezaji kwenye position ambayo keshaprove anaweza kitambo.
 
Casemiro sio mbunifu
 
Back
Top Bottom