Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

It's time to offload Benzema and Bale hizo sarafu anunuliwe striker mwenye njaa zake,Perez peleka blank cheque kwa Utd leta yule jini Dave tofauti na hapo msimu utakua mgumu sana.
 
Style mpya ya kukata miwa
 
Attachments

  • T_E2_80_99estimo_Demb_C3_A9l_C3_A9__F0_9F_98_82_F0_9F_98_82.mp4
    560.6 KB · Views: 32
It's time to offload Benzema and Bale hizo sarafu anunuliwe striker mwenye njaa zake,Perez peleka blank cheque kwa Utd leta yule jini Dave tofauti na hapo msimu utakua mgumu sana.

dave akienda madrid basi wachezaj wawili wa madrid wataenda united rafu aliyoicheza perez kwa morata itammaliza biashara na united hamna tena labda aondoke bure pia kuna wachezaj kama 6 wana umr mkubwa + uchovu na majeruh lazima timu iyumbe
 
Madrid wapo katika second season syndrome huwa inatokea sana katika soka siyo kitu cha ajabu lakini makocha wengi siku hizi wanashindwa ku deal na hii kitu tofauti na miaka kadhaa nyuma.
 
It's time to offload Benzema and Bale hizo sarafu anunuliwe striker mwenye njaa zake,Perez peleka blank cheque kwa Utd leta yule jini Dave tofauti na hapo msimu utakua mgumu sana.
Hakuna haja ya kupanic kwasasa kisa tumefungwa na Spurs, Bado safari ni ndefu sana, tumekuwa na bahati mbaya tu kwasasa, ni kwamba hayaendi kama tunavyotaka tu. Tutarudi tena.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
Mayoral comes ON to replace Isco and Asensio comes ON to replace Benzema. This sub shoul be before not now.
Kiukweli, ukiniambia nichague kati ya Isco na Asensio, nitamchagua Asensio, hii team inahitaji mtu kucheza nyuma ya forward awe more direct kutokana na nature ya vijana wetu., Na hii kazi kwasasa anaiweza Asensio na Kovacic, Silva yetu imekuwa muda mwingi kwenye transition kutoka kwenye upande wetu kwenda kwa wapinzani, ila kwasasa hii kitu hamna sababu Isco alipata mpira anatulia kwanza then anatoa pass, Hapo unakuta beki wameshajipanga, kutoboa sasa hapo ni shida,
Anyway, hope Zidane atafanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza.
 
Back
Top Bottom