Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Madrid leo wanacheza upumbavu yaan timu haina strategy na mbinu ngani itumie ku attack , wapo wapo tyu na tia maji zao na tunafungwa hii game.
Noo, team inajitahid japokuwa mambo hayatuendei poa,ishu ni kwamba tunakosa attacking power kutokana na Isco kushuka sana, nilitegemea Modric na Toni ndio wapandishe mpira then yeye ndio apokee hayo mashamblizi kwa kuwawekea foward wetu pass za mwisho,. sasa unafikiria kama anayetakiwa kutoa pass ya mwisho amebaki nyuma hayo magoli tutayafunga Vp?
So Zidane ana kazi ya kufanya kuweka hii ishu Poa, plus matatizo ya back line yetu.
 
Isco amepewa free role kitu ambacho sikubaliani nacho, kwasababu hana speed. Anyway, we're always score.
 
The goal was offside, and we are bit unlucky not to score. All we need is just Marcelo and Isco to deliver more.

Simply backline ya Spurs haipewi usumbufu ndio maana Lloris hii 1st half umekua untested kabisa,goli la offside lingekua sio kesi kama tuna goli 3 tayari,improvement needed tofauti na hapo tutazoea vipigo.
 
Back
Top Bottom