Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #19,721
Real Madrid are the preferred destination for Pogba, Manchester United are interested in signing him but there is no imminent deal. [BBC]
Pogba is not worth splashing any figure more than 75m. And this talk of him joining United is made up to make us go higher.
Hii Habari ya Lucas nimeipokea kwa masikitiko makubwa sana kwa kweli! ! Kijana ndio alikua anachanua ghafla anapewe taarifa kuwa ana matatizo ya moyo na anashauriwa kustafu soka!! Tumwombee tu Mungu ampe nguvu na faraja katika kipndi hiki kigumu kwake! !
Lucas Silva has been advised to retire from football due to his heart problems. [@BrazilStats2]
Kama ni kweli! ! Zidane ametumia busara sana kwa kweli! ! Mino nia yake ni kumkomoa Perez na Real Madrid kwa ujumla, ninadhan na Zizou ameliona hilo!! sasa hiyo pesa awakamue United,Perez was ready to pay 20m Euros to Pogba's agent but Zidane told him not to. Zidane don't want the club to pay that astonishing amount which the player don't deserve. [Sky Sports]
Real Madrid have pulled out of the race to sign Paul Pogba
Manchester United's path to sign Paul Pogba is now clear after Real Madrid ended their interest in the midfielder for financial reasons, Sky Sports News HQ has been told.
According to sources close to the deal, United's superior financial strength has given them a huge advantage in negotiations with Pogba's agent, Mino Raiola, and forced Real to admit defeat in their pursuit of the player.
At this point in negotiations, the basic transfer fee for Pogba is understood to start at around £85m (€100m).
However, when taking into account add-ons and bonuses related to the success of the player and the club - as well as Raiola's fee - the total amount United could pay for Pogba's transfer could reach over £105m (€123m).
Tuamini ipi?Perez was ready to pay 20m Euros to Pogba's agent but Zidane told him not to. Zidane don't want the club to pay that astonishing amount which the player don't deserve. [Sky Sports]
Kama ni kweli! ! Zidane ametumia busara sana kwa kweli! ! Mino nia yake ni kumkomoa Perez na Real Madrid kwa ujumla, ninadhan na Zizou ameliona hilo!! sasa hiyo pesa awakamue United,
Kante akipatikana atatukua mbadala mzuri tu wa Casemiro, kama club wakifanikisha usajili itakua poa! !
Kwa upande wa Andre Gomez, dau lake ni kubwa sana ukizingatia bado anahitaji kuimprove, pia sio aina ya mchezaji tunayemhitaji kwasasa, kama anahitajika kiungo mwingine kama Vp Zizou ambakize Asensio!!