Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #19,761
Champions of Europe, Portugal - kept clean sheet in 35 games out of 77 games (45%) when Pepe played. [@UEFAcom_es]
Arbeloa: That's what happens when you don't call up the world's best No. 9
![]()
Inahuzunisha sana hasa ndoto zako zinapokatishwa kwa jambo lililo nje ya uwezo wa mwanadamu.Lucas Silva's Official Statement regarding his health & future:
![]()
Inahuzunisha sana hasa ndoto zako zinapokatishwa kwa jambo lililo nje ya uwezo wa mwanadamu.
Atakuwa anacheza kama ridhaa tu au!!?Atacheza mpira, lakini sifikirii kwa kiwango cha juu kabisa.
Atakuwa anacheza kama ridhaa tu au!!?
Hapo sawa na imekaa njemaLucas Silva hajastaafu mpira, ila ameshauriwa na madaktari kupumzika for few weeks as a precaution before returning to his usual routine of training. Kwa maana hiyo he'll be okay and play football as usual.