Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Asensio's GREAT GOAL against Celta. The guy is getting better and better...

Ahhhh there is no luck in struggling effort,the hat-trick he scored cr7 wasnt aluck naomba ufute hiyo lugha mwana wane,matumizi ya BAHATI na JUHUDI naona ni tatizo kwako mkuu,we get through wasnt an easy task like you think inspite away tulifungwa
Mkuu,

Huyo ndugu yangu Paulo Sergio De Souza ukimwambia kuhusu Ronaldo kwake ni kama tusi haamini kama anaweza kufanya maajabu, sijui hata kwanini anamchukia kiasi hicho!

Niliwahi sema hapo nyuma Ronaldo anakufunga muda wowote na wale yale matokeo na Wolfsburg wala hayakuwa ni ya kushangaza sana hasa ukiwa na mtu wa caliber ya Cristiano Ronaldo...
 
Real Madrid and Cristiano Ronaldo are negotiating a contract extension until 2021 possibly. [El Confidencial]

Cge1Kq6XEAAXuFz.jpg:large
Habari njema hii

Hope he will stay....
 
Real Madrid have won all of their last seven games in La Liga, scoring an average of 3.85 goals per game.

Cgfd3UWWEAAeUY6.jpg:large
 
Mkuu,

Huyo ndugu yangu Paulo Sergio De Souza ukimwambia kuhusu Ronaldo kwake ni kama tusi haamini kama anaweza kufanya maajabu, sijui hata kwanini anamchukia kiasi hicho!

Niliwahi sema hapo nyuma Ronaldo anakufunga muda wowote na wale yale matokeo na Wolfsburg wala hayakuwa ni ya kushangaza sana hasa ukiwa na mtu wa caliber ya Cristiano Ronaldo...
1461173683226.jpg
SERGIO sijuwi ni ana gani za chuki kwa CR7, this guy is on fire, PiQue mwenyewe ana mkubali mpaka anamsoma huyu njemba cr7 jinsi gani atamzuia... Its amatter of time atamkubali tu...
 
Real Madrid's XI : Keylor Navas; Danilo, Ramos, Varane, Marcelo; Casemiro, Kroos, Modric; Lucas Vázquez, Cristiano & Benzema.
 
Zinedine Zidane played his last game as a Real Madrid player at the Santiago Bernabéu against Villarreal on May 7 in the 2005/2006 season.
 
Danilo have lost the possession 3 times and it's been only 10 mins.
 
Back
Top Bottom