Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,081
Marco Asensio just scored against Celta. 2 Goals and 9 assists. Not bad for a new-comer. #LoanWatch
Salamander hujambo mzeya,Marco Asensio just scored against Celta. 2 Goals and 9 assists. Not bad for a new-comer. #LoanWatch
Ukiitazama Man City imefika hapo kwa kubahatisha tu, hivyo fainali tushaingia shaka ondoa.Wakuu nilikuwa naangalia game ya New Castle vs Man City. Wamedroo goli 1-1. Yaani kwa game Ile Real Madrid wanatakiwa wafocus Tu basi wanaingia kwenye Champion league final.
Uko serious hao wote hawahitajiki? Hapana si kweli hii labda Benzema anaweza kwenda na Kane anamudu kuziba lakini Bale na Kroos wanahitajika sana.Yeah man. Benz should definitely go. Kroos as well, he's kinda washed off. Bale too.
Ukiitazama Man City imefika hapo kwa kubahatisha tu, hivyo fainali tushaingia shaka ondoa.
Ahhhh there is no luck in struggling effort,the hat-trick he scored cr7 wasnt aluck naomba ufute hiyo lugha mwana wane,matumizi ya BAHATI na JUHUDI naona ni tatizo kwako mkuu,we get through wasnt an easy task like you think inspite away tulifungwaWolfsburg kidogo watuaibishe. Bahati pia imechangia sisi kufika hapo. Usisahau hilo.
Ahhhh there is no luck in struggling effort,the hat-trick he scored cr7 wasnt aluck naomba ufute hiyo lugha mwana wane,matumizi ya BAHATI na JUHUDI naona ni tatizo kwako mkuu,we get through wasnt an easy task like you think inspite away tulifungwaWolfsburg kidogo watuaibishe. Bahati pia imechangia sisi kufika hapo. Usisahau hilo.
Ahhhh there is no luck in struggling effort,the hat-trick he scored cr7 wasnt aluck naomba ufute hiyo lugha mwana wane,matumizi ya BAHATI na JUHUDI naona ni tatizo kwako mkuu,we get through wasnt an easy task like you think inspite away tulifungwa
Uko serious hao wote hawahitajiki? Hapana si kweli hii labda Benzema anaweza kwenda na Kane anamudu kuziba lakini Bale na Kroos wanahitajika sana.
Sawa, Morata anaweza kuja ila akawa anaingia kutokea benchi. Bale anatakiwa apewe muda apone kabisa siyo kama sasa anacheza kwa kulazimisha. Lewa yuko vizuri tatizo kunaweza kutokea vita baridi na Cr7,kwani sasa naona kuna furaha na amani ndani ya BBC.Kane sio aina ya mchezaji wa Madrid. Lewy au Morata hapa.
Bale inconsistent and injury prone.
Kroos kashuka kiwango, + zimekuwepo tetesi kuwa mwenyewe anataka kubadili upepo msimu ujao. Verratti angekuja hapa.
Wao walikosa kadhaa nasi tulikosa kadhaa ukiondoa hatrick ya Cr7 hivyo tuliwaondoa kiuhakika sana mkuu.Bahati ilihusika sana. Baadhi ya magoli tuliyofunga, kama sio yote, ni ya kizembe. Jamaal pia walikosa nafasi kadhaa, ambazo on their night, wangezitumia. Juhudi zilikuwepo yeah, na bahati pia.
Sawa, Morata anaweza kuja ila akawa anaingia kutokea benchi. Bale anatakiwa apewe muda apone kabisa siyo kama sasa anacheza kwa kulazimisha. Lewa yuko vizuri tatizo kunaweza kutokea vita baridi na Cr7,kwani sasa naona kuna furaha na amani ndani ya BBC.