Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,141
Need to win desperately. The Catalans demolished Deportivo 0-8, and Atletico currently lead 0-1 against Athletic Bilbao.
Aisee sijapata kuona mbrazil hovyo kama huyu....Auzwi huyu, atakuwa sub wa Carvajal tu. May be in the future atabadili game yake
Ninadhani zomea zomea imemuathiri kimtindo... haonekani mwenyew furaha, anacheza kwa wasi wasi muda wote.. Week chache zilizopita alionekana kama kutaka kukaa kweny reli hiv, ghafla ameshuka tena...Huyu danilo nikifanya mazoez week mbili tu namzidi uwezo wake...hakyanan ana safar ndefu yakufikia kwa carvajal
Huyu danilo nikifanya mazoez week mbili tu namzidi uwezo wake...hakyanan ana safar ndefu yakufikia kwa carvajal
Ninadhani zomea zomea imemuathiri kimtindo... haonekani mwenyew furaha, anacheza kwa wasi wasi muda wote.. Week chache zilizopita alionekana kama kutaka kukaa kweny reli hiv, ghafla ameshuka tena...
Jamaa ana damu ya kunguni..., kila anachofanya hakisomeki, mbaya zaid ref akampa kadi ya njano kimakosa..Casemiro committed a foul but the referee confused them and gave Danilo a yellow card. Unlucky.
Jamaa ana damu ya kunguni..., kila anachofanya hakisomeki, mbaya zaid ref akampa kadi ya njano kimakosa..
Huyu danilo nikifanya mazoez week mbili tu namzidi uwezo wake...hakyanan ana safar ndefu yakufikia kwa carvajal
Sijui hakuwa na malengo yakucheza timu kubwa dunian kwa hiyo anaona yupo ndoton
Halafu sijui nini kimemkuta Danilo. He was such a beast at Porto.