Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,101
Isco will start tonight. [MARCA]
Sawa, lakini unakumbuka tuliyumba kidogo..na pia unadhani Morata kuna atakayemuweka benchi pale!? Labda kama ulivyosema aondoke mtu kitu ninachodhani hakiwezekani chini ya Zizou akiwa coacher kwa msimu unaofuata. Kuhusu personal glory kwa Ronaldo mi naona haina shida kwa vile inaleta positive impact kwa club. (Ronaldo )kiukweli anajituma sana,anafuata Marcelo,Modric na the others.Morata atokee bench? dah!
Wameshaondoka players who used to fed Cristiano (Di Maria, and Ozil), wakaja wengine wapya, na hakukutokea drama yoyote.
Bale kupewa muda wa kupona vizuri, maana yake ni astaafu tu.
BBC ndio udhaifu wa Real Madrid. Cristiano is all about personal glory. Bale too inconsistent and injury prone. Benzema also too inconsistent, and often in trouble. The trio is not reliable anymore.
Huyu kijana tungempeleka Villarreal au Dortmund angepikika vilivyo., hope Zizou atamweka kwenye mipango yake ya kikosi cha msimu ujao, ninatamani sana kumwona anatia uzi mweupe next season! ! Ana vitu hadimu sana.Marco Asensio just scored against Celta. 2 Goals and 9 assists. Not bad for a new-comer. #LoanWatch
Mkuu, kwanza kitu kilichofanya Morata akalamisha kuuzwa ni hii ishu ya ni nani anatakiwa kuanza kati yake na Benzema, alimpa Ancelloti wakati mgum kweli kweli, + support ya fans wa Madrid, kama unakumbuka kuna kipnd Benzema alikua anazomewa kweli, club ikaamua kumtoa Morata, so kama akirudi season inayokuja ina maana either Benzema asepe au awe kweny 1st 11.Sawa, Morata anaweza kuja ila akawa anaingia kutokea benchi. Bale anatakiwa apewe muda apone kabisa siyo kama sasa anacheza kwa kulazimisha. Lewa yuko vizuri tatizo kunaweza kutokea vita baridi na Cr7,kwani sasa naona kuna furaha na amani ndani ya BBC.
Duh huyu jamaa dah bas tu ilipaswa aondoke akatafute changamoto pengineKarim Benzema will sign a contract extension that will keep him in Real Madrid C.F. until 2021, per reports. [ L'Equipe]
![]()
Mkuu, kwanza kitu kilichofanya Morata akalamisha kuuzwa ni hii ishu ya ni nani anatakiwa kuanza kati yake na Benzema, alimpa Ancelloti wakati mgum kweli kweli, + support ya fans wa Madrid, kama unakumbuka kuna kipnd Benzema alikua anazomewa kweli, club ikaamua kumtoa Morata, so kama akirudi season inayokuja ina maana either Benzema asepe au awe kweny 1st 11.
Kuhusu ni nani aondoke na nani abaki, hiyo ishu ipo kwa Zizou, Sababu mwisho wa siku ndio atakayeamua aunde kikosi cha aina gani. So baadae itafahamika tu.
Ishu ya BBC kuondoka, uwezekano upo kwa Benzema tu hapo, kwanza Perez atamwachia kwa shingo upande, hii ni kutokana na matatizo yake nje ya uwanja, jamaa hajifunzi, likiisha hili, baada ya week utasikia limeibuka jambo lingine, so anaweza kuondoka endapo atapatikana mbadala. hao wengine bado sana, labda Perez aachie ngazi.
Bale kaumia tena eti akicheza golf. Huyu Bale inakuaje anaumia umia hovyo inakua too much