Mwenye link ya kutazama mechi online anipatie wandugu nami nishuhudie nikiwa on bed.
Niliona akiwa anaongea na Casemiro.. ninadhan wote walikua wanashangaa kilichotokea... kazi kweli kweli..Hahaha, ile njano ni ya Casemiro man. Unaona Casemiro alikuwa anacheka!
Duu.. hatimae Danilo amefanya kitu! !
Hahaha.. na anakimbia kweli kweli,.Umeona eh! Zile mbio akikutana na wewe kwenye reli yake lazima ukalazwe.