Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

[23:43, 4/2/2016] Daniel Cleverest: MSN halafu anakuja kufunga beki
[23:43, 4/2/2016] Daniel Cleverest: BBC news wote watatu wametia kamba
[23:44, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na ile nondo ya Ronaldo hadi Zidane akapandisha midadi ingeingia
[23:44, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile goli la bale alilonyimwa
[23:45, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na bila ile kadi nyekundu
[23:45, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile bale alopiga ikaishia katikati ya safari kuelekea golini
[23:46, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile la waaaaaaazi kabisa alokosa Pepe dakika ya tisini
[23:46, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile alopaisha benzema
 
Wakimbizi wote wako wapi? Acheni kuvamia thread ambazo haziwahusu.....sasa mnaona mmeumbuka???? Hala Madrid
 
Mkuu game ilikuwa slow sana. Naamini kwa uchezaji ule wachezaji wangeweza hata kucheza dk 180. Niambie ni mchezaji gani alieonyesha kuchoka. Wachezaji walikuwa wakikimbia wakati madrid wakiwa na mpira. Mmepata ushindi lakini game ilkuwa mbovu.
Sio kwamba game ilikua mbovu.., ni nyie (Barca) mlikosa plan B, kama Madrid walikua wanadefend ni nini kiliwanyima kutushambulia.. hata baada ya kubaki 10 bado hamkuonekana kuwa na njia mbadala.., Zidane amemzid Luis kiufundi!!
 
Dah! Sikuwa na matumaini kabisa kama tungetoka hata na draw, na game niliikosa. But grande Zizou and el chicos. Feels so great to deny those guys their almost perfect season. Hasta el final.

Man, I saw the game. Mi niliwaambia watu hapa baada ya game ya Sevilla, Zizou did a great job with this team. The first 20 minutes we gave them a lot of chances na kama kawaida ya wakatalani ni BOOOOOO from the start of the game. Lakini nilivyosikia wameanza whistles kwa beki zao nikajua game hii tunayo. 10 men wamemaliza game man! 10 men only
 
What a moment. Talk all you want, Real Madrid answers on the pitch. ¡Hala Madrid y Nada Mas!

CfEOleXWAAAWLdA.jpg
 
Hii game nimeiangalia kwa umakini mkubwa sana. Barcelona wamecheza chini ya kiwango walichofanikiwa zaidi ni kumiliki mpira ila mashambulizi yalikuwa 0.Casemiro huyu jamaa sijui kwa nini Banitez alikuwa anamkalisha benchi. Kwa kifupi hii classico ndio mbovu kuwahi kuiona. Btw..

Hongereni kwa ushindi
Toa upumbavu wako hapa!! Tumewazidi kwa mbinu na kuwakamata dkk 20 za mwisho japo refa amewabeba na mmekula za uso tu. Ongea lingine si ushuzi wako huu
 
[23:43, 4/2/2016] Daniel Cleverest: MSN halafu anakuja kufunga beki
[23:43, 4/2/2016] Daniel Cleverest: BBC news wote watatu wametia kamba
[23:44, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na ile nondo ya Ronaldo hadi Zidane akapandisha midadi ingeingia
[23:44, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile goli la bale alilonyimwa
[23:45, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na bila ile kadi nyekundu
[23:45, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile bale alopiga ikaishia katikati ya safari kuelekea golini
[23:46, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile la waaaaaaazi kabisa alokosa Pepe dakika ya tisini
[23:46, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile alopaisha benzema
Kaka we acha tu leo wanabahati sana hawa barca tungeweka heshima yakutosha
 
Cassimiro alivyompoteza messi...
Daah
Casemiro hajawahi kutuangusha man, nilikua ninaomba tu asipewe card ya njano kipnd cha kwanza., amenifurahisha amecheza kwa nidhamu sana.., Ile ni hazina kubwa tuliyokua nayo kwasasa! ! ....#HalaMadrid
 
Back
Top Bottom