Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ramos' interview before the Big Match

-"The most important thing is that the team plays a good game and, obviously, wins"

-"We hope that it will be an attractive game for all football fans."

-"If these matches have shown anything it is that anything can happen & we will try to play a calm game and play using our instincts"

-"who in recent years have shown that they were the best in almost all competitions"

-"For me, it means the best team in the world coming face to face with another"

-"Throughout history there have been few games as important or with such rivalry as what we have lived in the Clásicos”.

-" This rivalry has intensified and in the Clásico you notice it even more.

2D23365700000578-0-image-a-69_1444216302440.jpg
 
wadau kwema nimehadimika sana,nimesoma comments za wadau najua wengi hatuna matumaini na game ya kesho sababu ya mwenendo wa timu yetu hila naungana nanyi msimu hujao inabidi kuuza karibu nusu ya timu maana sasa hivi la liga tunaisikia kwenye bomba tu inatia hasira PEREZ lazima aondoke yeye ndo mwalibuji wa kwanza wa hii timu yetu.
 
BREAKING: Raphaël Varane got injured during the international break France and will miss El Clasico tomorrow. [via @JLSanchez78]

Ce9oV3UW8AACxiY.jpg:large
Hii injury aliyoipata Varane ilinichukiza sana, sababu ni kama ya kujitakia., haiwezekani game ya kwanza alipata majeraha then game ya pili bado Didier akamchezesha.., wakati game zenyewe ni za kirafiki tu.

Kilichonishangaza zaidi ni Varane kukubali kucheza game ya pili wakati tayar ya kwanza alijihisi kama anamaumivu., hajijui?? au bado utoto unamsumbua.., Ramos alijisihi kama anamaumivu kidogo tu akaondoka kwenye kambi ya team ya Taifa, yeye akakomaa wakati Ile game ilikua haina maana yoyote!!
 
Mateo Kovacic and Alvaro Arbeloa have been cut from the squad on technical grounds as 19 men are called up by Zinedine Zidane for the trip to Camp Nou.

Arbeloas contract expires in the summer so it's understandable.. But Kovacic was only signed last year, is this the beginning of the end for his career at Madrid already?

12376355_238461513174590_6221290953172086320_n.jpg
Kovacic anatakiwa awe mvumilivu kwanza, anahitajika n.a. bado atahitajika sana hapo baadae., aliletwa kama mbadala wa Modric. Uwezo anao wa kucheza Real Madrid. Pia bado Zidane hajabadilisha mfumo wa uchezaji ndio maana nafasi yake inakua ngumu., ila ninajua wakati utafika n.a. atacheza tu. Hope Mwenzie Modric atakua alimweleza kilichomkuta msimu wake wa kwanza, kua kwenye kikosi cha Real Madrid inahitaji kua mvumilivu sana.
 
wadau kwema nimehadimika sana,nimesoma comments za wadau najua wengi hatuna matumaini na game ya kesho sababu ya mwenendo wa timu yetu hila naungana nanyi msimu hujao inabidi kuuza karibu nusu ya timu maana sasa hivi la liga tunaisikia kwenye bomba tu inatia hasira PEREZ lazima aondoke yeye ndo mwalibuji wa kwanza wa hii timu yetu.
Mkuu wala usiogope na hakuna sababu ya kukata tamaa, sioni tukifungwa leo kabisa. Ninaimani tutashinda! !
 
Hii injury aliyoipata Varane ilinichukiza sana, sababu ni kama ya kujitakia., haiwezekani game ya kwanza alipata majeraha then game ya pili bado Didier akamchezesha.., wakati game zenyewe ni za kirafiki tu.

Kilichonishangaza zaidi ni Varane kukubali kucheza game ya pili wakati tayar ya kwanza alijihisi kama anamaumivu., hajijui?? au bado utoto unamsumbua.., Ramos alijisihi kama anamaumivu kidogo tu akaondoka kwenye kambi ya team ya Taifa, yeye akakomaa wakati Ile game ilikua haina maana yoyote!!

Mkuu nimeona hata Zizou kamaindi Sana kuhusu Varäne. Lakini lawama za Zizou ni kwa Coach na medical team. Inasikitisha kumkosa Varäne hawa kwenye Champions League
 
Mkuu nimeona hata Zizou kamaindi Sana kuhusu Varäne. Lakini lawama za Zizou ni kwa Coach na medial team. Inasikitisha kumkosa Varäne hawa kwenye Champions League
Wote Varane na coach wake Deschamps huwezi kuwatoa kwenye hii saga, kwanza Varane ni mtu mzima sasa anajielewa, alishajiuguza miezi kadhaa anaelewa sana kuhusu matatizo yaliyomkumba, huyo Deschamps na yeye ni coach wa ajabu sana.., game ya kirafiki unaruhusiwa kufanya sub 3+ ila bado akaendelea kumchezesha Varane.., kwani hawana CB wengine?
Mwenzie James matatizo yote anayoendelea kuyapitia, ni kutokana na hayo mahaba Varane aliyo yaonyesha kwa team ya Taifa.
 
Hii injury aliyoipata Varane ilinichukiza sana, sababu ni kama ya kujitakia., haiwezekani game ya kwanza alipata majeraha then game ya pili bado Didier akamchezesha.., wakati game zenyewe ni za kirafiki tu.

Kilichonishangaza zaidi ni Varane kukubali kucheza game ya pili wakati tayar ya kwanza alijihisi kama anamaumivu., hajijui?? au bado utoto unamsumbua.., Ramos alijisihi kama anamaumivu kidogo tu akaondoka kwenye kambi ya team ya Taifa, yeye akakomaa wakati Ile game ilikua haina maana yoyote!!
Alikimbia lawama classico.
 
Based on most recent reports coming from Spain this will be the starting lineup for El Clasico today!

Thoughts madridistas... is the lineup good enough to leave the Camp Nou with all 3 points?

12932963_238515089835899_7312078363312854497_n.jpg
 
Vp huko kwenu hakuna thread ya barca?

Mbona unajaza uchafu wa kitoto(edit) humu?

Hivyo siruhusiwi kuchangia humu? Kwa taarifa yako tu huu sio uchafu, uchafu ni ule unaochangiwa na fans wako na mnajua fika mnapigwa reo! About me kama ni uchafu ni-singetuma coz najua leo mtakung''utwa na baka! Japo mi si mshabiki wa baka rakini nawachukia madrid
 
El Clasico to be broadcast in 184 countries.

La Liga estimates an audience of 600 MILLION viewers! It can reach up to 1 Billion viewers. [AS]

1918052_1193194387371986_4417399704278812975_n.jpg
 
Nike vs Adidas Clásico: Nike sponsores 23 players. Adidas sponsores 21. [@RM4Arab]

12401005_1193197074038384_8767071902575037285_n.jpg

Some Interesting Match Facts ahead of our clash against Rivals FC Barcelona.

- Real Madrid have scored at least 2 goals in 12 of their last 15 matches (La Liga).

- Barcelona have kept just 9 clean sheets in their 24 home matches in all competitions so far this season.

- Ronaldo has directly contributed to 21 goals in his 14 matches under Zidane [16 goals + 5 assists].

- Real Madrid have been winning at both half time and full time in 7 of their last 9 matches (La Liga).

- Ronaldo has scored in 7 of his last 8 Clasicos in the Camp Nou.

- Ronaldo has scored more goals in the Camp Nou [8] than in the Bernabeu [5] vs Barcelona since joining Real Madrid.

‪#‎HalaMadrid‬ ‪#‎ELClasico‬
 
"We have prepared well, are in a good moment and we will see 'BBC' shine against Barcelona. I will enjoy my first Clásico as a coach."

"You know how it works here, this game is only worth winning. I understand because I've been a player and know the demands of the club."

12376648_1193236527367772_830148864539189694_n.jpg
 
Everyone expecting to see: Navas; Carvajal, Ramos, Pepe, Marcelo; Casemiro, Modric, Kroos; Bale, Benzema, Cristiano. #ElClasico
 
Nina hamu tushinde hii mechi ingawa ni ngumu kushinda

Ni vigumu muno kushinda sababu munacheza na timu kubwa duniani! Nawapa Ushari wa bure wizauti manei msijitume saana mkachoka,nakuumia mkakosa uefa, kubarini mufungwe hata 10 ili uefa mucheze vizuri. Huo ndiyo ushauri wangu
 
Back
Top Bottom