Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii game nimeiangalia kwa umakini mkubwa sana. Barcelona wamecheza chini ya kiwango walichofanikiwa zaidi ni kumiliki mpira ila mashambulizi yalikuwa 0.Casemiro huyu jamaa sijui kwa nini Banitez alikuwa anamkalisha benchi. Kwa kifupi hii classico ndio mbovu kuwahi kuiona. Btw..

Hongereni kwa ushindi
 
wako wapi wale waliosema elclasico ya mara hii haina mvuto mana ni ya upande mmoja? wakafika mbali na kusema team alonayo real ha droo hawezi kupata
 
Back
Top Bottom