Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Benitez alichemsha sana kutomchezesha Casemiro ile game ya kwanza huyu ndio anabalance timu.
Zidane inabidi atafute CB mwingine Ramos amekuwa mzigo sana +majeruhi
 
Hii game nimeiangalia kwa umakini mkubwa sana. Barcelona wamecheza chini ya kiwango walichofanikiwa zaidi ni kumiliki mpira ila mashambulizi yalikuwa 0.Casemiro huyu jamaa sijui kwa nini Banitez alikuwa anamkalisha benchi. Kwa kifupi hii classico ndio mbovu kuwahi kuiona. Btw..

Hongereni kwa ushindi
Hata EL CLASSICO. iliyopita madrd alicheza chini ya kiwango labda EL CLASSICO ya mwaka gani ilikuwa bora sana na ni kwa vigezo gani ulivyotumia
 
El clasico mbovu sana, 9 men wanawapiga Barca nyumbani kwao. Kweli mbovu!
 
Cristiano Ronaldo is the 2nd player in El Clasico's history to score (10+) goals at Camp Nou. [Opta]

CfEGyCgXIAAZdJG.jpg:large
 
Hii game nimeiangalia kwa umakini mkubwa sana. Barcelona wamecheza chini ya kiwango walichofanikiwa zaidi ni kumiliki mpira ila mashambulizi yalikuwa 0.Casemiro huyu jamaa sijui kwa nini Banitez alikuwa anamkalisha benchi. Kwa kifupi hii classico ndio mbovu kuwahi kuiona. Btw..

Hongereni kwa ushindi
Hujielewi..#halla madrid....
 
Real Madrid have ended Barcelona's unbeaten record of (39) games without losing in all competitions. Zidane. [Opta]

CfEHSnsWEAYPN-B.jpg:large
 
Hahaha.. Mkuu nimeshindwa kualewa maamuzi ya Refa kwa kweli, haijulikani ni offside au ni foul!!

Nilisikia whistle refa anasema weka kati, mara akabadili maamuzi anasema sio goli. Last seasoson, El Clasico ya pale Camp Nou walitu-rob kama hivi.
 
Last Real Madrid comeback to win an official match at Camp Nou was the 28th of February 1965. (1-2 in La Liga)...Thank you Zinedine Zidane. [MisterChip]
 
Watching Real Madrid win is something beautiful. Watching Real Madrid destroy Barça at the Camp Nou with Zidane as manager is priceless.
 
Hata EL CLASSICO. iliyopita madrd alicheza chini ya kiwango labda EL CLASSICO ya mwaka gani ilikuwa bora sana na ni kwa vigezo gani ulivyotumia
Mkuu game ilikuwa slow sana. Naamini kwa uchezaji ule wachezaji wangeweza hata kucheza dk 180. Niambie ni mchezaji gani alieonyesha kuchoka. Wachezaji walikuwa wakikimbia wakati madrid wakiwa na mpira. Mmepata ushindi lakini game ilkuwa mbovu.
 
Dah! Sikuwa na matumaini kabisa kama tungetoka hata na draw, na game niliikosa. But grande Zizou and el chicos. Feels so great to deny those guys their almost perfect season. Hasta el final.
 
Back
Top Bottom