Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #15,921
Thank you everyone for the support .... Well played Barca... At the end the best won
Safi sana ! Na waache kudharau timu. Well done Zidane!Kwanza niwapongeze timu,washabiki pamoja na wote wanaotupa support katika ushindi huu ambao kwa hakika tumestahili...kwenye makosa ya safu ya ulinzi yameshazungumzwa sana kuwa combination ya pepe na ramos pale nyuma unapata bangi na viroba kwa hiyo huwa wanashindana kupata kadi wale...ndo maana wengi mliendelea kupendekeza mmoja awe anamuachia verane kwa kila mechi kimzunguko ili timu itulie pale nyuma...kumfunga mtani kuna raha sana tena nyumban....hala madrid...
Kwahiyo el classical nzuri ni ile Barca anayoshinda.Hii game nimeiangalia kwa umakini mkubwa sana. Barcelona wamecheza chini ya kiwango walichofanikiwa zaidi ni kumiliki mpira ila mashambulizi yalikuwa 0.Casemiro huyu jamaa sijui kwa nini Banitez alikuwa anamkalisha benchi. Kwa kifupi hii classico ndio mbovu kuwahi kuiona. Btw..
Hongereni kwa ushindi
Pique: "Ramos's red card caused Barca defeat, we lost control after that" #NEVER_GO_FULL_RETARD
Sounds like an excuse to me. These guys.