Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Rivaldo (Former Barca player): "Real Madrid already has a new coach in Zidane - They need to give him a chance like Barca gave to Pep and Enrique."

Too soon. Lucho alianza kwa kusuasua sana pia. Leo he's a hero. Coaches wanahitaji nafasi. I'm still with Rafa. Zizou muda wake utafika.
 
The Spanish press inakula sahani mmoja na Benitez-mpaka personal life yake inachambuliwa,no stone is left unturned-kama jamaa ata survive hii onslaught basi he is more then human.Meanwhile press inaendelea kusema Barca ya mwaka huu ni better kuliko ya last year barring minor hiccups on the way Barca will conquer the world again
mi ni mshabiki wa barca lakini kwa moto wa bayern sioni hili kutokkea.
 
Kufeli kila kitu kwa kipimo kipi? Yaani kupoteza games 2 kwa teams bora ndio kufeli kila kitu?

Real Madrid bora wafungwe na Getafe kuliko kufungwa na Wacatalunya tena Santiago Bernabeu na kibaya zaidi walicheza mpira mbovu.Key players CR7,Bale,Benzema wote wana matatizo
 
Benitez amefeli kila kitu,Perez bado hajapata replacement otherwise angetimuliwa mapema
huyo kochalishafeli kabla hajaenda Madrid. Napoli ya benitez na ya msimu huu tofauti kabisa.
 
Real Madrid bora wafungwe na Getafe kuliko kufungwa na Wacatalunya tena Santiago Bernabeu na kibaya zaidi walicheza mpira mbovu.Key players CR7,Bale,Benzema wote wana matatizo
Wrong bro. Losing is always unacceptable to Real Madrid, haijalishi tunapoteza kwa nani. Unlike them, we only focus on Madrid, lose or win.

Umesema key players wana matatizo, how's that Rafa's fault?
 
Wrong bro. Losing is always unacceptable to Real Madrid, haijalishi tunapoteza kwa nani. Unlike them, we only focus on Madrid, lose or win.

Umesema key players wana matatizo, how's that Rafa's fault?

CR hamkubali Benitez,Isco analalamika kupigwa benchi.In general key players wengi hawamkubali Rafa.Nakumbuka ulivyokuwa unamponda Carlo,now unasema Rafa apewe muda
 
CR hamkubali Benitez,Isco analalamika kupigwa benchi.In general key players wengi hawamkubali Rafa.Nakumbuka ulivyokuwa unamponda Carlo,now unasema Rafa apewe muda

Umesikia wapi Cristiano akisema hamkubali Rafa? Hakuna mchezaji atakayepigwa bench, na afurahie. Isco hata Carlo alikuwa anampiga bench.

Carlo nilimponda yeah, he was a joke. Benitez kafanya kosa moja tu la kimchezo tangu ameichukua team, selection ya juzi. But he's done a good job so far. Team ime-survive bila key players kwa muda mrefu, thanx to Rafa. I'm still very much optimistic.
 
[h=1][/h][h=1]Training Session (23-11-2015)[/h]

12227841_1027577847295099_5788183457806893811_n.jpg
 

Carlo Ancelotti: "When I arrived at Real Madrid, Zidane helped me a lot."


- "He has a very good relationship with Benzema, Varane."


Carlo Ancelotti: "Zinedine Zidane can be Real Madrid coach some day. I am sure of it."


Carlo Ancelotti: "Zinedine Zidane has all the qualities to be a fantastic manager."



12279067_1105244312833661_877145493206902437_n.jpg
 

Perez: "Rafa has just started his job here, let him keep working and he will achieve his objective."


"I understand the anger of our fans, but we believe that it is time to continue working with rigor, seriousness & unity."


"We had a very bad game, these things happen but It is not lack of attitude."


"I sincerely think that people are lying to damage Real Madrid's image. I have a lot of examples"


"Cristiano has never told me to choose between him and Benitez."


"What bothers me is that some people have a goal to speak lie against me and Real Madrid."


-"Solutions for all problems? Benitez is the solution. Let him work"

 

Jose Mourinho: "El Clasico? I talk about it when Real Madrid only win, If I speak about Real Madrid, I speak when they are winning." [BBC]
 


NEXT FIXTURE

CHAMPIONS LEAGUE - MATCHDAY 5 (GROUP STAGE) - 25/11/2015


ARENA LVIV

SHAKHTAR DONETSK.............VS..................REAL MADRID


11169063_984686441584240_8095269297075421066_n.jpg
 


OFFICIAL: Real Madrid's squad for the Champions League game vs Shakhtar.


Out:
Ramos, Marcelo & Arbeloa.


12246975_1104564196235006_7985161388760858808_n.jpg
 

Marcelo is injured and will be out for sometime + we don't have a genuine LB in our team except for the Brazilian, Nacho will play in his place.


Ramos is also out for 5 to 6 weeks could be back in January 2016. [@Cope]
 

Jamie Carragher believes Rafa Benitez was forced to play his star players and said he DID NOT played the team he wanted to play.


Jamie Carragher : That's not Rafa Benitez i know. He would never go without a holding mid fielder. Maybe he was forced to play star players because we all know Casemiro is the best Real Madrid player this season and he left him out.


[Source : Goal]
 
Back
Top Bottom