Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Leo haonekani kabisa, ameunyuti .... .... ..... . . Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Jamaa huwa anakatabia flani hivi cha kutoa updates kwa kila goli au tukio la uwanjani, nashangaa leo hakukuwa na updates au updates ni mpaka Madrid ashinde?
 
Ni muda muafaka kwa CR7 kuondoka Madrid akapumzikie England, vinginevyo ataondoka kwa aibu kubwa zaidi!
 
mii napita tuu na kutoa salamu za rambi rambi mkuu salamander pole sana naona leo kimya kikuu poleni sana ndio mpira unadunda bado ligi inaanza kazeni buti
 
na leo king alicheza dakika kidogo sana la si hivyo angalitupia mengi
 
namuonea huruma banitez, maana atletico akishinda leo anatupwa nafasi ya tatu na chuki ya mashabiki itakuwa kubwa sababu walio juu yao ni maadui wao wakubwa.
 
Ni muda muafaka kwa CR7 kuondoka Madrid akapumzikie England, vinginevyo ataondoka kwa aibu kubwa zaidi!

jana kazomewa sana mshikaji, licha ya yote aliyoyafanya thamani yake imeshaanza kipotea taaratibu, akitaka astaafu kwa heshimu england asirudi maana heshima aliyojiwekea inamtosha bora aende marekani au uarabuni akachume pesa
 
Man u atarudi koh Koh
 
tumepoteza mchezo lakini hatujapoteza mashindano....makosa yameonekana na tumejipanga kuendelea na mashindano...hili ndo soka lilivyo kuna nyakati za maumivu na nyakati za furaha.....ni swala la muda tu,kwa watoto wa kizazi cha BRN walioanza kuangalia mpira 2010 kombe la dunia lilivyokuja south africa hili hawawezi lijua,lakni kwa wakongwe na wafuatiliaji mpira vizri wanajua hili ndio maana kuna washabiki wa liver na arsenal hadi leo japokuwa hawajawahi chukua ubingwa miaka chungu na mzima...Hala madrid...
 
Hodi humu ndani. Watani zetu mmeamkaje jaman tuwaletee walau uji 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Yan baada ya kufungwa madrid tu jukwaa limejaa mamluki kibao kumbe na nyie huwa mnapenda tushinde daily eeh poleni kwa kuwaangusha jana ila msijali safari bado ndefu tutabounce back...Halla Madrid
 
Hasn't been our week at all.

CUIBhwvUYAAQSOc.jpg:large
 
Yan baada ya kufungwa madrid tu jukwaa limejaa mamluki kibao kumbe na nyie huwa mnapenda tushinde daily eeh poleni kwa kuwaangusha jana ila msijali safari bado ndefu tutabounce back...Halla Madrid

Ignore brother. Don't give them your attention.
 
Benitez bado kwa kweli. Formation ya 4-3-3 haiwezi kwa wachezaji alionao na jinsi anavyotaka wacheze. Angeanza na 4-4-2 ya kawaida kbs ili Modric na Kroos wabaki kati vzuri winga abaki Bale na James then CR7 na Benzema mbele.
Jana Bale na James walihangaika sana na walishindwa kufanya mazuri ya viwango vyao. Mipira tulipoteza sana,kati tukapotea na mbele watu wakawa wanatanua uwanja wakat kati hakuna mtu.
 
Back
Top Bottom