pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,731
Hapana jana tulimpa sana kaka iniesta ujiko jana na wenzake
Hapana jana tulimpa sana kaka iniesta ujiko jana na wenzake
![]()
Sio ujiko mlishikwaaa
jana kazomewa sana mshikaji, licha ya yote aliyoyafanya thamani yake imeshaanza kipotea taaratibu, akitaka astaafu kwa heshimu england asirudi maana heshima aliyojiwekea inamtosha bora aende marekani au uarabuni akachume pesa
Hebu nipe tofauti ya kimaana na matokeo ya nilichozungumza na wewe ulichozungumza
Guillem Blague now stating that Benitez will be sacked soon. [@SkySports]
Kaka achana na hao watu wengine wanadandia tu treni hawajui nini kuhusu football as a game, wamekuja humu kubishana wengi wao ni fanboys tu, if you know what I mean.
Zidane worse then Benitez-afadhali mumrudihe Mr negative football, Mourinho,at least he could force his way to small trophies
Rivaldo (Former Barca player): "Real Madrid already has a new coach in Zidane - They need to give him a chance like Barca gave to Pep and Enrique."
Breaking news,, Rafael Benitez has been sacked