Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Can't blame the crowd. Some paid thousands of Euros to witness Real Madrid get humiliated in their own backyard like this? Shameful...

Me mwenyewe nimekataa hela jion hii ili nije kukamua game...sasa naona hata home kuna joto kinoma wakat nimefungua milango madirisha na fan zote nimewasha,hii inaashiria nina hasira za manyigu
 
Yaan hii leo ni mipango hatuna,players hovyo na pia hakuna bahati...ni mambo ya siku akifa nyani
 
Me mwenyewe nimekataa hela jion hii ili nije kukamua game...sasa naona hata home kuna joto kinoma wakat nimefungua milango madirisha na fan zote nimewasha,hii inaashiria nina hasira za manyigu

Wapi huko mtani nije na fast jet fasta uwiiiiiii sitaki nikupoteze nipo kwa ajili yako......
 
The entire Bernabeu applauding Andres Iniesta, just like it did 10 years ago after Ronaldinho's performance. Hats off to Andres.

nimekumbuka mbali ile game madrid alikuwa nyumbani Ronaldino alipotoka uwanja mzima wa Santiago Bernabeu ulisimama kumpongeza.
 
nimekumbuka mbali ile game madrid alikuwa nyumbani Ronaldino alipotoka uwanja mzima wa Santiago Bernabeu ulisimama kumpongeza.

Pole mtani na mwakani utakumbuka tena game ya leo yaan 4-0
 
Back
Top Bottom