Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Acha tu, unafiki pembeni hii game nimeshindwa kuendelea kuiangalia. Barça wanatufundisha namna ya kucheza na Juve and it's painful to watch.
Ukiangalia comments zangu kipindi kile hatujacheza na juve 2nd leg nlisema kama carlo ana akili basi atubadilishie aina ya uchezaji,juve ukisema uwafunge kutumia wingers lazima utachemka tu,maana kwa kucheza mipira ya cross wako vizuri sana na beki zao ni ndefu...nlitabiri kuwa barca watatumia viungo wao wa kati kumaliza game kiulaini kabisa,kwa sababu juve katikati kupenyeza mipira siyo wazuri hata kidogo..ila sasa yule muitaly alikariri nafikiri akawapa ujiko juve kiulaini kabisa..pumbavu zake sana...
 
Acha tu mzee, bado nina machungu sana na yule Jamaa. Katufanya tuonekane vituko.
 
AS | Diego Llorente will meet with the club
to inform them that he wants to move. He
already has offers from England and
Germany.

Huyu dogo namkubali sana.
 
Piqué: "Thank you Kevin Roldán (singer who
leaked Cristiano's birthday party photos) It
all started with you." [AS]

Typical Cules.
 
Acha tu mzee, bado nina machungu sana na yule Jamaa. Katufanya tuonekane vituko.
Hahahhahahahhhah..unajua yule jamaa sijui alikuwa anawaza nini yule,yaan nafikiri alikuwa nawaza kuvuta sigara sana...ila ninaona hasira sana katika nyuso za wachezaji msimu ujao hakyanani watapigwa watu,ule upande wa pili huwa wakishinda huwa wanaimba kabisa matusi na kashfa dhidi yetu na huwa wanapenda sana kulinganisha wachezaji wetu dhidi ya wachezaji wao,ninaendelea kuamini huwa wanatuogopa sana....
 
COPE | Melchor Ruiz: "Real Madrid didn't like the words of Piqué."

Melchor Ruiz: "When Real Madrid celebrate, Barca is never mentioned." [@bernabeudigital]
 
Piqué: "Thank you Kevin Roldán (singer who
leaked Cristiano's birthday party photos) It
all started with you." [AS]

Typical Cules.

Offensive comments dhidi ya Real na Ronaldo ndio trend in media right now. Sijui anajisikia ujiko au vipi. He can't be a sportsman on that way. Kuna vitu vingine awaachie mashabiki tu. Kaonyesha jinsi gani siyo mature. Sergio Ramos could not say shit about Barca or Neymar on that way...Very sad.
 
ule upande wa pili huwa wakishinda huwa wanaimba kabisa matusi na kashfa dhidi yetu na huwa wanapenda sana kulinganisha wachezaji wetu dhidi ya wachezaji wao,ninaendelea kuamini huwa wanatuogopa sana....

Hahaha hao jamaa bana, wanatamani sana kuwa sisi ila kwasababu haiwezekani inawabidi kutuchukia. Kuna nadharia kwamba Jamaa huwa wako radhi hata kutoshinda wao kama itamaanisha kutuzuia sisi kushinda.

Mi huwa nawacheka sehemu moja, a.k.a. yao 'cules' inamaanisha 'makalio', kwasababu ndivyo walivyokuwa wanajulikana back in the day wakati wanaanza. Sasa kwa majina kama hayo, siwezi kushangazwa na matendo yao.
 
Latest UEFA Ranking (Updated after UCL Final) :
Real Madrid on first, 7 points Clear of los catalanes and 17 points clear of Bayern Munich.

10660313_1014526685238758_4136001595584543221_n.jpg
 
Offensive comments dhidi ya Real na Ronaldo ndio trend in media right now. Sijui anajisikia ujiko au vipi. He can't be a sportsman on that way. Kuna vitu vingine awaachie mashabiki tu. Kaonyesha jinsi gani siyo mature. Sergio Ramos could not say shit about Barca or Neymar on that way...Very sad.

Hao Jamaa hata si wa kuwashangaa, ni sawa na mwanamke asiyestaarabika anayekupenda ila hauna muda nae kabisa. Lazima atajaribu mbinu zote ili utambue uwepo wake, si mara ya kwanza wao kufanya hivyo, wala haitakuwa ya mwisho.

We angalia hata baadhi ya washabiki wao humu wanavyotukubali kiaina. Ndio gharama ya kuwa Club kubwa na yenye mafanikio zaidi duniani. Cha msingi ni kuendelea kuwapuuza kila wanapotuchokoza.
 
Ødegaard vs Zlatan is confirmed. Both starts for their respective teams.‪#‎NORSWE‬

NOR XI vs Sweden - Elabdellaoui, Nordtveit, Forren, Høgli - ØDEGAARD, Tettey, Johansen, Skjelbred - Nielsen, King

10403426_1014538108570949_836037948407578420_n.jpg
 
Hao Jamaa hata si wa kuwashangaa, ni sawa na mwanamke asiyestaarabika anayekupenda ila hauna muda nae kabisa. Lazima atajaribu mbinu zote ili utambue uwepo wake, si mara ya kwanza wao kufanya hivyo, wala haitakuwa ya mwisho.

We angalia hata baadhi ya washabiki wao humu wanavyotukubali kiaina. Ndio gharama ya kuwa Club kubwa na yenye mafanikio zaidi duniani. Cha msingi ni kuendelea kuwapuuza kila wanapotuchokoza.

Pique is a joke. Spanish team wanarudi South Africa 2010, mi nilikuwa Madrid, kwenye Celebracion Pepe Reyna yuko na microphone akasema Pique anataka kuongea kwa catalan, akajificha nyuma. Alimpatia sana. Ni sawa na Guadiola, mtu uko na kila kitu, lakini bado unakubali kutumika kisiasa, ni umbumbu.
 
Ukiangalia comments zangu kipindi kile hatujacheza na juve 2nd leg nlisema kama carlo ana akili basi atubadilishie aina ya uchezaji,juve ukisema uwafunge kutumia wingers lazima utachemka tu,maana kwa kucheza mipira ya cross wako vizuri sana na beki zao ni ndefu...nlitabiri kuwa barca watatumia viungo wao wa kati kumaliza game kiulaini kabisa,kwa sababu juve katikati kupenyeza mipira siyo wazuri hata kidogo..ila sasa yule muitaly alikariri nafikiri akawapa ujiko juve kiulaini kabisa..pumbavu zake sana...

Real Madrid ni vibonde wa Juventus kabla hata Anceloti hajatua Madrid ,mmeasahau kina Del Pierro na Nedved walivyokuwa wanawafunga
 
Tall anaongelea situation za last season, kwanini hatukwenda Berlin, Au wewe unajisikia rahaaa kuwaita Real Madrid vibonde? Sawa, tuonane august.
 
Pique is a joke. Spanish team wanarudi South Africa 2010, mi nilikuwa Madrid, kwenye Celebracion Pepe Reyna yuko na microphone akasema Pique anataka kuongea kwa catalan, akajificha nyuma. Alimpatia sana. Ni sawa na Guadiola, mtu uko na kila kitu, lakini bado unakubali kutumika kisiasa, ni umbumbu.

Haha hao Jamaa mbona ni kuwazoea tu.
 
FT: Norway 0-0 Sweden

• Martin Ødegaard played the full 90 minutes & performed very well.

1896773_1014633515228075_3319424799444660012_n.jpg
 
I haven't watched this kid play yet, and i don't believe in Youtube. I hope he's worth all the hypes.

He was trying the Isco way, I think he's not bad lakini kupata namba los blanco inabidi akomae sana. Sema timu yao nimeipenda wote ni watoto halafu walimkamata Ibra vizuri.
 
Back
Top Bottom