Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #8,181
Eduardo Inda (Spanish Journalist): "Sergio Ramos has asked for 10m net per season".
Pre-season schedule
![]()
Si tuna game na Bayern pia?
BREAKING: De Gea has agreed his terms with Real Madrid, United and Real still working on the deal
Kuna clip iko Marca jinsi Iker na De Gea wanavyopotezeana kwenye NT. Wameingia wakapaki gari zao, Iker akatangulia ku-sign autographs, De Gea nae akaenda pale pale. Jamaa kama hata hawajuani vile
Jinsi walivyopotezeana.
Media sometimes zinapenda kukuza mambo, lakini siwezi kusema kitu mpaka niione hiyo clip.
Nimeiona bana, iko weird kinoma, trust me. Ifate hapa Frosty atmosphere between Casillas and De Gea - MARCA.com (English version)