Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
He was trying the Isco way, I think he's not bad lakini kupata namba los blanco inabidi akomae sana. Sema timu yao nimeipenda wote ni watoto halafu walimkamata Ibra vizuri.
Nimeona taarifa kwamba Rafa anafikiria kuwatoa huyo chalii na Asensio kwa mkopo ili wakapate 1st team actions za mara kwa mara.