Wenger alishawaambia hili mapema sana kuwa huo upande utawapa shida na kuna eneo litabaki halina mtu na ndio gepu la kuikwepa presha toka kwenu.
Henry pia alikua akibase upande wa kushoto ambao alikuepo Pirez na kuondoka sana kati wakati Wenger akiwa arsenal. nawala haikueletea shida. tuache kukariri logic zisizo na msingi