Ukiachilia mbali kufunga unataka mtu afanye nini aonekane kweli kacheza big game?
El clasico ya leo mliyoshinda Mbappe ukiachilia magoli aliyofunga kuna kipi cha maana alichocheza au kukifanya?
Hii sio big game?View attachment 3698696
Kama hiyo juu sio big game vipi kuhusu hii hapa chini?
View attachment 3698697
Kama hizo juu zote sio big games vipi kuhusu hii hapa chini?
View attachment 3698698
Mbona ulisema game zote kubwa anapotea?Hapo game ambayo alifanya kitu ni hiyo against France tu.
Hata sasa hivi mmekufa hamna timu.Hizo zingine Madrid alikua kashakufa
Mbona unakimbia maswali.Yamal alivyocheza leo au against PSG ndo anavyocheza against timu ndogo? Mbona mambo mengine yapo wazi kabisa?
Wakati unaandika huu uongo wako possessions Barca 63 Madrid 37.Barcelona Sijui hua wanafundishwa kufunga tu? Hawajiwezi Kabisa Kwenye kukaba na kufanya Marking.
Ukiwa na Timu yenye Wachezaji wenye uwezo Binafsi wa kumiliki mipira na kuachia pasi Kwa haraka na sahihi unawapa game ngumu sana.
Mtu kama Diomande anawakusanya watatu watatu na hawamnyanganyi mpira, Camavinga anaondoka na watu wawili hawafanyi chochote. Bellingham ndio Kabisa wanakuja Sita Sita pamoja na ballon D or Lakini wapiii.
Linapokuja suala la kuzuia Hawapo active wapo passive, Wanakabia macho, wanasubiri adui akosee ndio wapate mpira washambulie.
Bahati mbaya wamekutana na Madrid kiwango Cha mchezaji mmoja mmoja kimeimarika, hawapotezi mipira kirahisi Japo wapo waliofanya hivyo ila Barca walishindwa kutumia hizo nafasi mfano Diomande Kuna mipira kama miwili alichoma.
Sasa Ndio nashangaa Hii ndio Timu ya kushindania UEFA kweli?
Mpaka sasa wewe mwenye beki bora na unayeweza kukaba uneshafungwa goli 10 kwenye mechi 10 za ligi.Hawajiwezi Kabisa Kwenye kukaba na kufanya Marking.
Mzee Mimi siwezi kuongea na wewe ndomana hua nakwepa mijadala Yako maana Sitaki nianze kujielezea kam naongea na mtoto mdogo.Mpaka sasa wewe mwenye beki bora na unayeweza kukaba uneshafungwa goli 10 kwenye mechi 10 za ligi.
Barca tulio na matatizo ya beki na yanajulikana tumefungwa goli 11.
Ukicheki hapo ni kama tunalingana tu kwenye kuruhusu magoli.
Sasa sijui huo ubora wa kukaba kwa Madrid unatoka wapi!
Ila siwezi shangaa washabiki wa hii timu mna vitu vya kushangaza sana.
Uongo haupendezi kaka huu mpira tuu.Mzee Mimi siwezi kuongea na wewe ndomana hua nakwepa mijadala Yako maana Sitaki nianze kujielezea kam naongea na mtoto mdogo.
Kuna Sehemu nimeandika Madrid hawakupoteza mpira au walimiliki mpira kuliko Barca?
Jiulize Kwa Sasa Kati ya Barcelona na Madrid ipi Timu inayosemekana kua Bora? Kwanini ifungwe goli 11 ilihali Madrid ambayo mbovu ikatungwa goli 10?
Haya nikasema Ukiwa na Timu yenye Wachezaji wenye uwezo Binafsi wa kumiliki mipira na kuachia pasi Kwa haraka na sahihi unawapa game ngumu sana.
Swali mapka Sasa Kwenye la Liga Barcelona kakutana na Timu ngapi zenye uwezo huo ninaouzungumzia?
Angalia alivyocheza na PSG SI ndio hivi alivyocheza, Je Nini kimemkuta?
Broo kua mpinzani sio Kitu kibaya ila kuparamia kila mtu tubishane nae ili uonekane unajua sio poa.
Nenda Kwenye page Yenu ya Barcelona huko ukajitetee sio Huku Mzee.
Sio inayosemekana mpaka sasa Barcelona ni bora kuliko Madrid ukibisha ni wewe tu na ubishi wako mimi siwezi kukulazimisha.Jiulize Kwa Sasa Kati ya Barcelona na Madrid ipi Timu inayosemekana kua Bora?
Barcelona kufungwa goli 11 wala sio kitu cha kushangaza.Kwanini ifungwe goli 11
Hii sio big game?View attachment 3698696
Kama hiyo juu sio big game vipi kuhusu hii hapa chini?
View attachment 3698697
Kama hizo juu zote sio big games vipi kuhusu hii hapa chini?
View attachment 3698698
Kwahiyo lamine kageuka Vin mzee wa malalamiko?
Kwahiyo lamine kageuka Vin mzee wa malalamiko?
Waja hamna dogo.
Sema mwanenu Vini kwa sasa kashuka sana kiwango sijui shida yake nini?Kiwango cha Yamal big games ni sawa na Vini sasa.