Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,823
- 9,813
Denzel Dumfries chezaji la bure zito linakaba kwa macho 😁
Welcome back mkuu...😀😀..kitambo kingi sana.HALA MADRID
Ni furaha familia inapokutana tena.Mkuu habari, karibu tena kwenye uzi wetu pendwa, imekuwa kitambo sana Mzee
Nafikiri sasa umeelewa nilichomaanisha.fafanua zaidi mkuu
Asante TallWelcome back mkuu...😀😀..kitambo kingi sana.
Msimu huu kwenye ligi tuna vita na marefa kuliko timu pinzani...how ile rafu kachezewa Valverde siyo red card?
Teresa Herrera ndio kombe pekee mlilobeba na mtakalobaki nalo msimu huu.Antimadridista mko mbio na trolling. tukibeba ndoo msisahau kurudi kutupongeza
Usisema hawa sema huyu, maana mmoja apo hiyo ni position yakeHawa watoto nao huwa wanazinguaga sana wakat mwingine.
View attachment 3675471
Wenger alishawaambia hili mapema sana kuwa huo upande utawapa shida na kuna eneo litabaki halina mtu na ndio gepu la kuikwepa presha toka kwenu.Hawa watoto nao huwa wanazinguaga sana wakat mwingine.
View attachment 3675471