Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Goli la Espi sijaridhika na maamuzi ya refa kuwa ni offside.

Sijajua kwanini hakutaka kwenda kujiridhisha kwenye VAR.
Huu ni utapeli mkubwa sana mliofanyiwa
7173.jpg
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Yani nimefurahi sana kenge nyie uchukue ubingwa beki Konate winga diomande na finishazi Jr. Yaone kwanza. Nawachukia mno yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie
Mkuu Madrid walikufanya nini?
 
Hadi dakika hii timu inacheza kama vile inatafuta draw,back passes nyingi kinyama timu haifunguki na tunakaba kwa macho....tunasubiri watu wasogee hadi kwenye mita 20 ndio tunaanzaa kaba.
 
Back
Top Bottom