pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,308
- 3,916
HT: Ukisikia sasa ile tulifanya kila kitu ila bahati haikuwa yetu ndio hii sasa..hizi kosakosa tumewapelekea moto hawa jamaa dah!siyo poa aisee.
Madrid anakosa kosa sanaHT: Ukisikia sasa ile tulifanya kila kitu ila bahati haikuwa yetu ndio hii sasa..hizi kosakosa tumewapelekea moto hawa jamaa dah!siyo poa aisee.
Limekataliwa maninaaa..Wakuitwaaa Espiiiiiiii
Noma sana manHii Penalt tukikosa ndio ile sasa siku yakufa nyani.