Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,516
- 14,012
Acha msagiweGoli la Espi sijaridhika na maamuzi ya refa kuwa ni offside.
Sijajua kwanini hakutaka kwenda kujiridhisha kwenye VAR.
Acha msagiweGoli la Espi sijaridhika na maamuzi ya refa kuwa ni offside.
Sijajua kwanini hakutaka kwenda kujiridhisha kwenye VAR.
Real Betis wana ukuta mgumu sana.Leo ni ile tumekosa bahati,however...kila palipo na jambo kuna chakujifunza haswa kuendelea kuwa na njaa ya matokeo kwa timu ambazo huwa zinacheza man to man kama hizi nakuwa na njia ngumu nyuma.
Hizi pointi 3 tulizopoteza leo, kuna sehemu tutazifidia.Acha msagiwe
Hata penalty si mmepiga kwa tahadhari..Hizi pointi 3 tulizopoteza leo, kuna sehemu tutazifidia.
Hii wiki ya Champions League timu kubwa zenye malengo ya kufanya makubwa CL lazima zicheze kwa tahadhali hizi mechi za ligi.
Espi alikuwa amezidi kwenye action ya nyuma na akaja kunufaika na mpira wa cross kutoka upande ule uleGoli la Espi sijaridhika na maamuzi ya refa kuwa ni offside.
Sijajua kwanini hakutaka kwenda kujiridhisha kwenye VAR.
Atengeneze tu mkeka mwingine aachane na lawamaEspi alikuwa amezidi kwenye action ya nyuma na akaja kunufaika na mpira wa cross kutoka upande ule ule
Hahahaha....Atengeneze tu mkeka mwingine aachane na lawama
Espi alikuwa amezidi kwenye action ya nyuma na akaja kunufaika na mpira wa cross kutoka upande ule ule
Mawakala wameshalala huko? Usikate tamaa nyanyuka tena mkamalia uweke stake iliyonona. Acha blamingIle offside ya Espi ilishakufa ule muda mpira uliporudi nyuma na huo muda alikuwa ametoka kwenye hilo eneo la offside ameingia ndani katikati kabisa.
Movement ya goli hadi pasi inatoka kwa Vini hakukuwa na offside.
Hela unayobetia haitakiwi ikuumize iwapo italiwa.Mawakala wameshalala huko? Usikate tamaa nyanyuka tena mkamalia uweke stake iliyonona. Acha blaming
Stake tena mkuu.. mambo ya espi kuzidi haitabadili chochote. Haya tufanye hajazidi..Hela unayobetia haitakiwi ikuumize iwapo italiwa.
Unapoanza tu ku stake ifikirie kama tayari imepotea usiiwekee kwenye mipango kabisa.
Ukiwa na mentality hii itakusaidia sana kupunguza matusi kwa Madrid.
Unabeti kwa ghadhabu?Stake tena mkuu.. mambo ya espi kuzidi haitabadili chochote. Haya tufanye hajazidi..
Nadhani mtego wa kuotea unavunjwa na rebound au touch ya mchezaji wa upinzani......Ile offside ya Espi ilishakufa ule muda mpira uliporudi nyuma na huo muda alikuwa ametoka kwenye hilo eneo la offside ameingia ndani katikati kabisa.
Movement ya goli hadi pasi inatoka kwa Vini hakukuwa na offside.
Umepagawa kwa kumfunga Ipswich?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Yamepigwaaaaaaaaa beki Konate halafu unataka ubebe ubingwa hivi nyie huwa mna akili timamu kweli au hamnazo 🤣🤣🤣🤣
Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie na bado