pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,332
- 3,979
Na anapata hapa...tunatangulia goal la Kwanza kutoka kwa Mbappe
Sifa ya kwanza ya Straika ni kuwa mchoyo ndio maana mwisho wa msimu Straika anapaswa awe na magoli mengi zaidi ya assistMbappe pale alikuwa mchoyo, alishindwa nini kucheck wenzake?