pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,295
- 3,887
Gooooooal....Mbappe
6:0unatabiri ushindi wa goli gap?
Huyu jamaa siyo siri kwenye kutengeneza nafasi yupo vizuri sana ndiyomaana mashabiki wa liverkuku bado wanakinyongo nae.Sema Alexander Anorld ana mipira migumu hatari!!
Nafasi ya mwisho ambayo Guler alivutwa jezi nilitegemea Mbappe ataweka pasi kwa Vini tupate goli la 5 ila akaamua kupiga mwenyewe.