Ata man u walianza hivi hivi....Club yetu inatambua mashabiki wake wa Mzizima.
Wale wa Camp Zoo sijui kama washawahi kukumbukwa.
View attachment 3655167
Ni kwei kabisa,kuanzia kipindi cha kwanza, hana kitu cha maana amefanya, ninaona vijana wanapasha tusubiri tuone mabadiliko yatakuwaje.Hadi sasa hvi Vin Jr hii mechi ishampalia,hana jipya humu...apigwe sub tu maana mipira mingi yakushambulia inafia kwake.