Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Espiiiiiiiiiiiiiiii
Ninadhani unaangalia mpira kinyume nyumeBado sana madrid upande wa beki
Dah...mwanangu acha tuDakika za usikuuuu
Naangalia TBC¹ ukweli na uhakikaNinadhani unaangalia mpira kinyume nyume
Ninadhani manNaangalia TBC¹ ukweli na uhakika
Huyu aendelee kuanzia benchi...nafikiri ana uwezo mzuri wakuusoma mchezo ukiwa unaendelea...ni mapema sana kuconclude...ngoja tuone mechi kama 5 hv.Bila shaka Jose Mourinho ashajua kuwa Yan Diomande sio wa kuanzia benchi
Ndio maana ya kuwa na vijana kama Espi, hawakupatia nafasi nyingi za makosa, kijana ananikumbusha Joselu.Watoto walitaka kuvua taulo la dingi
Hatimaye kipofu kaona mweziGooooooal...kubabake walah
Mtavuliwa sana taulo, kuwa na kocha kama Mourinho ni kawaida kufedheheshwa kwa falsafa zakeWatoto walitaka kuvua taulo la dingi
Kabisa jamaa anaujuaBila shaka Jose Mourinho ashajua kuwa Yan Diomande sio wa kuanzia benchi
Kuna watu walujiandaa tuangushe pointi ili baadaye waje na kauli ya "Pale katikati hamna kiungo, kumkosa Rodri ndio sababu ya kupoteza alama"Ndio maana ya kuwa na vijana kama Espi, hawakupatia nafasi nyingi za makosa, kijana ananikumbusha Joselu.