Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Perez anaona noma kutoa 70€m+ kwa mtu anayemaliza mkataba wake Msimu ujao, ndio hiyo kusita sita unayoiona hapo, ila kuna taarifa nimeona kuwa Barca na wao wameingia kati, wanamtaka!!
Barcelona haiwezi ku win battle ya kugombania mchezaji na Madrid kama kigezo kitakuwa ni pesa na demand ya Club kwa huyo mchezaji.

Barcelona ni kama wapo frustrated baada ya madili yao mengi kuingiliwa kati na Perez.

Kina Dumfries na Cucurella wote hao walikuwa main target ya Barcelona lakini mwisho wa siku Papa Perez kafanya undava na wote tupo nao Bernabeu.
 
Perez anaona noma kutoa 70€m+ kwa mtu anayemaliza mkataba wake Msimu ujao, ndio hiyo kusita sita unayoiona hapo, ila kuna taarifa nimeona kuwa Barca na wao wameingia kati, wanamtaka!!
City wamefanya kusudi kudelay wakitegemea club zingine zitajitokeza na wamefanikiwa. Kwa dau waliloweka ni kubwa ukizingatia umri wa Rodri hizo injury za mara kwa mara pamoja na muda wa mkataba wake ndiyomaana Perez nae akawa anadelay.

Rodri kuruhusu maongezi na Barca bila shaka ni katika kuongeza presha kwa Madrid ili kukamilisha dili mapema.

Huenda Mourinho nae hajakuwa interested na Rodri. Kama atahitajika Barca hana hela ya kugombania mchezaji na Madrid.

Udate: Barca wameweka €45M tu ila City wanataka zaidi, bado Madrid kama wanamtaka hakuna cha kuzuia dili.
 
Nimeoma sehemu kuwa Rodri kaichagua Barcelona na kuikataa Madrid.

Muache abakie huko afu tukutane kwenye El Classico.
FB_IMG_1786093292519.jpg
 
City wamefanya kusudi kudelay wakitegemea club zingine zitajitokeza na wamefanikiwa. Kwa dau waliloweka ni kubwa ukizingatia umri wa Rodri hizo injury za mara kwa mara pamoja na muda wa mkataba wake ndiyomaana Perez nae akawa anadelay.

Rodri kuruhusu maongezi na Barca bila shaka ni katika kuongeza presha kwa Madrid ili kukamilisha dili mapema.

Huenda Mourinho nae hajakuwa interested na Rodri. Kama atahitajika Barca hana hela ya kugombania mchezaji na Madrid.

Udate: Barca wameweka €45M tu ila City wanataka zaidi, bado Madrid kama wanamtaka hakuna cha kuzuia dili.
Nimeshangaa hilo dau, maana City walitaka €70m, sasa jamaa walichoweka ndio hicho!! Kama City wakipokea hiyo offer ndio kitakuwa kituko kingine , acha tuone mchezo unavyoenda.
 
Huyu huenda ameona Mardid hawana utayari nae ndiyomaana ameamua kubadilisha maamuzi au aliamua kuitumia Madrid ili kuwavutia Barca.
Naskia Pep alisaidia ku push hilo dili kwa kumshawishi Rodri aichague Barcelona.
 
Hapo madrid nani wa kumueka Rodri nje?

Unachekesha sana we jamaa.
Wewe unaangalia jina, Je Kwa umri wake na majeraha anayopitia anaweza kutunza kiwango chake akawa na mwendelezo mzuri mfululizo?
 
Acha utani jamaa angu pale madrid wale viungo wenu kina Tchouameni na Camavinga sio wa kumuweka Rodri nje au eti Rodri agombanie nao namba.

Na suala la umri pia uongo tu mbona mmemsajili Bernado Silva miaka 31 wakati Rodri 30?
 
nilichogundua vijana wengi wanaoshabikia Madrid wana uweleo mdogo sana wa football. Unakuta mtu mishipa imemtoka anamtaka Rodri ili aje azibe pengo la Kroos, sasa Rodri na Kroos wapi na wapi?
 
Acha utani jamaa angu pale madrid wale viungo wenu kina Tchouameni na Camavinga sio wa kumuweka Rodri nje au eti Rodri agombanie nao namba.

Na suala la umri pia uongo tu mbona mmemsajili Bernado Silva miaka 31 wakati Rodri 30?
Mpaka hapo haujagundua kwamba tupo frequency tofauti?

Hauoni unachokazania wewe na ninachomaanisha Mimi ni vitu viwili tofauti.

Baernado alikua free,Rodri ana mkataba hauoni utofauti hapo?

Ni kweli Real Wana shida ya kiungo mkabaji ila Kwenye project za Mda mrefu target yao ya kwanza hua Kwa vijana wadogo ambao watatoa huduma Kwa muda mrefu na Ikitokea wamekosekana basi hata hao wenye umri wa Rodri ambao wapo Kwenye kiwango kizuri ila tu wawe tayari kucheza sio majeraha ya mara Kwa mara Kwa sababu Wao wanatumiwa Kwenye project ya muda mfupi tu.

Sasa swali Rodri msimu uliopita katoa huduma Gani Kwenye club yake? Hajacheza hata nusu ya mechi za msimu, kajakupona kacheza mechi 7sijui 8 za word cu na bado karudi kufanyiwa tena operation.e

Sasa unataka Perez atoe Hela ndefu Kwa kamari kama hiyo? Carvajal kastaafu hapa juzi tu akiwa bado anahitajika je tatizo lilikua kiwango, umri au majeraha?

Majeraha kwanza Kisha umri, Sasa hata rodri vivyo hivyo, yawezekana ana kiwango kizuri kweli ila vipi akifika akae nje tena msimu mzima Huku kasaini mkataba wa miaka miwili tu?

So Mimi Sina tatizo na ubora wake nitafurahia akija ataongeza upana wa kikosi.

Ila Nina wasiwasi na afya yake, kwahyo Kitu kikubwa backup ya kina Camavinga na tcho isiondoke kwanza.. Kwa sababu afya yake haieleweki inaweza kuchochea majeraha ambayo yatafanya asicheze au acheze bila kutoa kiwango stahili.I

Ndomana nikasema Anaogopa kuanzia benchi.

Itokee Camavinga gari limewaka, Tcho Gari limewaka ni sawa na Rodri akiwa mgonjwa?

Sema natumia nguvu nyingi sana kuelekeza Mwana Barca wengi Wao ni Vilaza Hawa hahahaha.
 
Rodri asingekuwa na majeraha ya mara kwa mara ingekuwa vyema sana ila yule jamaa ni pancha mno, umri na dau waliloweka pia limekua changamoto.
 
Acha Barcelona wajikanyage, Mara ya mwisho Sijui lini waliuza mchaji Kwa bei hiyo anayouzwa Rodri.

Hii ndo Ile baada ya muda Fulani wanafungiwa kusajili Kwa sababu vitabu vya MAHESABU havijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom