Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ni jukumu la kocha kujua mchezaji wake anafit vizuri kwenye nafasi ipi kulingana na aina ya uchezaji wake ili aweze kuwa na faida zaidi.

tatizo linaanzia kuwa timu zinapangwa kisiasa zaidi, Alonso alitaka aende na Arda NO 10 akashindwa
 
Official Statement: Carlos Espí​

Real Madrid CF and Levante UD have agreed to the transfer of player Carlos Espí, who will be linked to our club for the next five seasons, until June 30, 2031.

At 21 years old, Carlos Espí has played three seasons at Levante, in which he has played 66 games and scored 20 goals
 
Hizi sajili za suprise attack.
 
Hii kamati ikitoka patupu Sijui Perez na mou wake itakuaje.
 
Attachments

  • HOt7-LKXEAEh5BS.jpg
    HOt7-LKXEAEh5BS.jpg
    139.4 KB · Views: 8
Yaani yeye anachukulia zile pasi za kumwaga maji anazopiga akiwa free kule winga ya kulia basi anaweza kuzipiga akiwa Katikati!!

Anajidanganya, Jamaa kwanza pancha nyingi hawezi mambo ya kugongana kugonbea mpira Sasa atawezaje vita hapo kati kati!?

kubwa zaidi jamaa migando, kati kunataka watu wa harakati
 
Yaani yeye anachukulia zile pasi za kumwaga maji anazopiga akiwa free kule winga ya kulia basi anaweza kuzipiga akiwa Katikati!!

Anajidanganya, Jamaa kwanza pancha nyingi hawezi mambo ya kugongana kugonbea mpira Sasa atawezaje vita hapo kati kati!?
Ukiwa kocha moja ya jambo la muhimu ni kujiamini kimaamuzi na kumuamini mchezaji. Ikitokea Trent akafanya kile kinachohitajika hapo kati basi ataonekana eneo hilo mara kwa mara na asipokifanya basi hatopewa nafasi hapo kati.
 
Back
Top Bottom