Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wenetu timu yenu imekua ya wapiga masumbwi, ongezeni chata hii hapa kutoka ukengeni chama liwe kamili gadoView attachment 3585584
20260103_075438.jpg
 
Ushindi leo uwe ni lazima ili kupunguza kelele za mitandaoni na kuondoa aibu ya kumkabidhi mtu kombe
 
Ukishaona beki ni Ansencio na Rudiger na kushoto ni Garcia ujue hapo ni maumivu tu
Asencio sikuwahi kumuelewa man, ndio maana hata ninaona huyo Jose aje tu, atusafishie team kisha tupate Coach wa kutupeleka mbele, maana wote wamekuwa sawa.
 
Shida ni umakini tu. Kuna namna tuna loose focus

Tukitulia hii game hatufungwi
 
Nasikia yameanza yale headless chicken wawili Tchou na Cama in the mid. Lazima iwe massacre.
 
Back
Top Bottom